Search results

  1. Valencia_UPV

    Mini Cooper msizichukulie poa kama IST!

    Wakuu hizi mini coopers msizichukulie poa mkadhani Ni size ya IST sijui Vitz zenu. Mzungu Katia Mini Cooper 5 door (2022) speed 260kph ni motoooo. Bei inakimbizana na SUV zenu mnazovimba nazo Kidimbwi. Ajabu hakuna Celebrity bongo anayetamba na chuma design hii. Zaidi ya Noah na Alphard Kama...
  2. Valencia_UPV

    Subaru Forester (2008-2023) unyama sana

    Hizi ndinga zimekaa vizuri kuanzia umbo la nje, speed 240kph (max), AWD, ground clearance nzuri. Vijana hizi ndo gari za kuendesha Kwa sasa si MURANO
  3. Valencia_UPV

    Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania. Wenu Mtiifu.
  4. Valencia_UPV

    Subaru Tribeca chuma makini

    Japo Subaru Forester imepata Promo na vijana walamba lips wengi wanainunua. Hiki chuma TRIBECA (Subaru) kimekosa kabisa machawa wa kupigia promo hapo Bongo?
  5. Valencia_UPV

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Wakuu nimeshuhudia hizi gari zikitelekezwa Garage kadhaa hapo Dar. Wamiliki wamechemsha kuzimaintain? Tuachane na kumiliki gari kwa kufuata mkumbo. MC pilipili like X3 lake sijui kalificha wapi siku hizi
  6. Valencia_UPV

    UDSM wafanya ubunifu wa gari la umeme

    1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. 2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao. NB: Poleni wa-Tanganyika. **Wao mwaka mzima...
  7. Valencia_UPV

    Dkt. Mwakyembe Makavu live sessions

    Tujikumbukushe Mwakyembe alipokua anawapa Ngumbaru wenzetu makavu live kuhusu elimu yake ya PhD bila kupindisha. Dkt. tutakukumbuka daima
  8. Valencia_UPV

    Naomba kujuzwa namna ya kuingiza gari used toka Afrika Kusini

    Salam wakuu, Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
  9. Valencia_UPV

    Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

    Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004). NB Postgraduate office wao wanajua...
  10. Valencia_UPV

    Matumizi ya Fedha za Bunge huchunguzwa na Nani?

    Ikiwa CAG huchunguza matumizi Kwa taasisi za Serikali Kuu na Serikali za mitaa (halmashauri) kisha huleta ripoti bungeni. Je huchunguza matumizi katika Bunge letu tukufu? Hawa waheshimiwa wanafaidi keki ya Taifa ipasavyo Kwa njia zifuatazo (ukiacha mishahara minono). 1. Posho Nono za kamati za...
  11. Valencia_UPV

    Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

    Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
  12. Valencia_UPV

    Hatma ya Watanzania waliopo Sudan

    Kumetokea mapigano jijini Khartoum je Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
  13. Valencia_UPV

    Mteule Stuka! Ukihamishwa, jiandae kisaikolojia

    Awamu hii Wateule hawatumbuliwi majukwaani Kama awamu ya 5; Kwa sasa 1. Unahamishwa/demotion 2. Unatumbuliwa/kupangiwa kazi nyingine (hewa). Mifano ya waliokumbwa na dhahma hiyo, I. Professor Mkuu Kalamaganda, II. Dr Lukuvi, III. Ditto James, IV. Ngusa Samike
  14. Valencia_UPV

    Tukuyu Stars ilitubeba Wanyakyusa

    1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu. 2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu ikipotea kwenye ramani. NB: Dr Sugu, Prof Mwandosya, Dr. Tulia, SH Amon-Sauli, Dr Mwakyembe ongozeni...
  15. Valencia_UPV

    Mdumange uwe mdundo wa Uzalendo!

    Katika kuonyesha heshima Kwa mkoa wa Tanga, kutoa Mawaziri 4 (Makamba, Mwana FA, Ummy na Aweso) basi inafaa Ngoma ya Mdumange ipewe heshima ya kuwa mdundo wa Uzalendo. Asante
  16. Valencia_UPV

    Naomba kujuzwa sifa za kujiunga FFU

    Ikiwa Kijana anataka kujiunga na Kikosi cha FFU awe na sifa zipi?
  17. Valencia_UPV

    PhD za kusomea zimeiletea nchi kitu gani?

    1. Hizo PhD za kusomea zimeleta maajabu kwenye Uchumi, Jamii ya ki-Tanzania? Nchi hii tuliwahi kuwa Na Waziri wa Mambo ya Nje baadae Katiba na Sheria (PhD holder) alifuata Dawa za Mitishamba (feki) na ndege (full-paid) Madagscar. 2. Sasa mnaipamba PhD utadhani wenye nazo wanajielewa.?
  18. Valencia_UPV

    CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

    Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo; 1. Umeme hadi vijijini. 2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere) 3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi...
  19. Valencia_UPV

    Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  20. Valencia_UPV

    Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

    Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama, 1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani. 2...
Back
Top Bottom