BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Wakuu nimeshuhudia hizi gari zikitelekezwa Garage kadhaa hapo Dar.

Wamiliki wamechemsha kuzimaintain? Tuachane na kumiliki gari kwa kufuata mkumbo.

MC pilipili like X3 lake sijui kalificha wapi siku hizi

images - 2023-07-08T140501.129.jpeg
images - 2023-07-08T140700.285.jpeg
images - 2023-07-08T140627.614.jpeg
 
Ina maana kwenye garage zote za Tanzania hakuna gari za kijapan?
Kumbuka watu wote hatuwezi kumiliki Toyota Tu kuna wengine huwaambii kitu Kwa mjerumani....
Ndio hao sasa wameyatelekeza.
Utawaambia nini?
ni kweli "huwaambii kitu"

Sinza Kumekucha pale Soprano Garage asimilia 85% ya magari yaliotelekezwa pale (tuseme yanayokaaga miezi mpaka yapone) ni European Cars.

Toyota zilizopata ajali zinaletwa hazichukui hata siku tatu zinarudi kwa Road.
 
Kuna garage nimekuta Disco 4 . siwezi sema zimetelekezwa ila zimekaa kitambo. Moja ya sababu naelewa ni gharama za matengenezo ambazo mtu akiambiwa lazima akajipange kwanza ba gari haiendesheki
Umaskini ndio tatizo, unakopa benki milioni 35, unamvua mtu Disco 4 milioni 30 ili uvimbe nalo mjini. Unaenjoy nalo baada ya miezi mitatu linakorofisha linazima.

Unalikokota mpaka gereji unaambiwa mpaka lipone inatakiwa uweke milioni nane mezani. Unaamua kulikacha ujipange mdogo mdogo. Linabaki kua screpa la madogo wanaosadia fundi kupumzikia na kuvutia sigara gereji.
 
Back
Top Bottom