Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania.
Wenu Mtiifu.
 
Attachments

  • images - 2023-07-16T230721.568.jpeg
    images - 2023-07-16T230721.568.jpeg
    10.3 KB · Views: 8
  • images - 2023-07-16T230733.126.jpeg
    images - 2023-07-16T230733.126.jpeg
    7.3 KB · Views: 34
  • images - 2023-07-16T230709.680.jpeg
    images - 2023-07-16T230709.680.jpeg
    10.5 KB · Views: 14
  • images - 2023-07-16T230702.683.jpeg
    images - 2023-07-16T230702.683.jpeg
    6.7 KB · Views: 26
  • images - 2023-07-16T230653.956.jpeg
    images - 2023-07-16T230653.956.jpeg
    11.1 KB · Views: 10
Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania.
Wenu Mtiifu.
Ni gari ngumu imara, lakini spare zake ni ghali sana.
Service ya kawaida haipungui 800k

Service kubwa inachezea 1,500k na kuendelea.
Gari za nissan tatizo pekee ni ughali wa spare..nimezitumia gari hizi na toleo la lililotangulia kwa takribani 12yrs
 
Hizo patrol zipo za Petrol na Diesel. Petrol usichukue labda kama unapenda mbio kuna engine ya Tb45 ni 4500cc, Tb48 ni 4800.

Diesel engine ni Td42 4200cc hii ni common kwenye patrol nyingi na Nissan Civilian ina sound nzito, kuna Zd30 3000cc hii ipo very economy na ina nguvu sana na ina tumia mifumo ya umeme.

Nissan 3 Doors(Short Base) hizi kweye Y60 na Y61 zinakuja na engine ya Rd28 2800cc inline 6 cylinder hii haina shida na inatumia vizuri mafuta.
 
Kwa hiyo Bora kuchukua ya diesel?
 
Ni gari ngumu imara, lakini spare zake ni ghali sana.
Service ya kawaida haipungui 800k

Service kubwa inachezea 1,500k na kuendelea.
Gari za nissan tatizo pekee ni ughali wa spare..nimezitumia gari hizi na toleo la lililotangulia kwa takribani 12yrs

Service ya kawaida Y61 laki 8?? Labda hapa ifafanue kawaida kwako ni nini na nini?
 
Back
Top Bottom