Search results

  1. ACT Wazalendo

    Macheyeki: Serikali Ichukue Hatua za Madhubuti Kudhibiti Upandaji wa Mafuta Nchini

    Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha unaoishia Juni, 2024 tuliona kuongezeka kwa changamoto ya upatikanaji wa mafuta (uhaba wa mafuta). Tatizo...
  2. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Yafanyike haya ili kunusuru Mwendokasi

    Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha...
  3. ACT Wazalendo

    Riziki Shahari: Tunaitaka Serikali Kurejesha Kikokotoo cha Mwaka 2017

    UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 Utangulizi Ijumaa tarehe 19 April 2024, Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawalabora Ndg. George Simbachawene (Mb) amewasilisha Bungeni mpango na...
  4. ACT Wazalendo

    Ripoti ya CAG, Kazi Inaendelea ya Kufuja Fedha za Umma

    Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23. Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua. Katika...
  5. ACT Wazalendo

    Tunalaani matukio ya Jeshi la Polisi kuvamia wananchi Mkoani Kigoma

    ACT Wazalendo tunalaani matukio ya Jeshi la Polisi kuvamia wananchi Mkoani Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Sekta ya Mambo ya ndani ya nchi inalaani kwa nguvu zote kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma kuvamia wananchi, kusababisha majeruhi, kupora mali na kutishia amani Mkoani...
  6. ACT Wazalendo

    Zitto Kabwe: NEC na Uhalali wa Kisheria Dhidi ya Uhalali wa Kisiasa.

    UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA #NECijiuzulu #INECiingie Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024...
  7. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali iwalipe fidia waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
  8. ACT Wazalendo

    Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
  9. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali itekeleze ahadi yake uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga Sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hicho leo tarehe 17 Machi 2024 kwenye mapokezi ya kumpongeza kwa kuchaguliwa na...
  10. ACT Wazalendo

    Ado Shaibu aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo

    Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo. UTANGULIZI Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya...
  11. ACT Wazalendo

    Dkt Elizabeth Sanga: Serikali Isifanye Afya za Wananchi Bidhaa

    Tamko la ACT Wazalendo kusitishwa kwa Bima ya NHIF kutumika katika hospitali binafsi nchini. ACT Wazalendo tumeshtushwa na mivutano kati ya Serikali kupitia Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na chama cha watoa huduma binafsi za afya nchini (APHFTA) na baadhi ya hopsitali binafsi. Mvutano uliopelekea...
  12. ACT Wazalendo

    Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  13. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  14. ACT Wazalendo

    Halmashauri ya Kigoma Ujiji Iache Kusumbua Wafanyabiashara Wadogo

    Kusumbuliwa kwa wafanyabiashara wadogo soko la Mwanga Kaskazini Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinapinga vikali maamuzi ya Halmashauri ya Kigoma Ujiji ya kubadilisha utaratibu wa shughuli za Wafanyabiashara ndogondogo wa soko la Malungu kata ya Mwanga Kaskazini. Utaratibu...
  15. ACT Wazalendo

    Kuhusika kwa Jeshi la Polisi vifo vya vijana wawili, tunataka uchunguzi huru

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya maafisa wa Jeshi la Polisi kuhusishwa na vifo vya vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kucheuka (22) waliokuwa wakiishi Vingunguti Dar es Salaam. Taarifa zinaeleza kuwa vijana hao walikamatwa kwa nguvu na Askari...
  16. ACT Wazalendo

    Zitto Kabwe anavyoitazama Tanzania ya 2050 Kiuchumi

    Anaandika Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo. Katika mazungumzo yangu na Maafisa Mipango na Wachumi wa Wizara, Idara, Mashirika ya Umma, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchi nzima wanaokutana hapa Arusha nimewaeleza kuwa Tanzania ya Mwaka 2050 itakuwa na Watu takribani milioni 130...
  17. ACT Wazalendo

    Zitto Kabwe: Migogoro Migogoro Migogoro kila kona ya nchi

    Katika ziara ninayoendelea mkoani Kigoma nimefika Kata ya Kagerankanda, Halmashauri ya Wilaya Kasulu. Nimezungumza na viongozi wa Chama wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Ukanda wa Makere Kusini katika kikao kilichofanyika katika Kanisa la Anglikana, Kagerankanda. Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi...
  18. ACT Wazalendo

    Karibu Dr Frank- Walter Steinmeier, President of Germany

    Today, the 30th October 2023 to November 1st, 2023, Tanzania will be hosting the President of the Federal Republic of Germany- His Excellency Frank Walter Steinmeier- on an official work visit. As announced in official communication, the purpose of the visit is to strengthen trade and...
  19. ACT Wazalendo

    Mtutura: Serikali iwalipe wakulima fedha zao

    Kwa muda mrefu sasa wakulima nchini wanalalamikia ucheleweshaji wa malipo ya fedha za mazao yaliyochukuliwa na Wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA). ACT Wazalendo tumefuatilia kwa karibu mwenendo wa ununuzi wa mazao hayo (mahindi) katika Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Katavi, Njombe na Mbeya...
  20. ACT Wazalendo

    Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
Back
Top Bottom