wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. AMMARITO

  Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

  Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
 2. JABALI LA KARNE

  Mchango wa wanyonge wanaotetewa sana hapa nchini ni upi?

  Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi? Ukiachana na misaada: Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge Mbuga za...
 3. beth

  Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
 4. E

  Story of Change John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

  Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
 5. M-mbabe

  ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

  Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
 6. elvischirwa

  Wamachinga kando ya kuta za viwanda Mbagala, usiku hutoboa na kuiba

  Barabara ya Zakhiem Mbagala Rangitatu ina vibanda vingi vya wamachinga kando ya kuta za viwanda, wamachinga hawa wanalindwa na mamlaka kwa hali na mali kwa sababu ndio wapiga kura wetu. Wapigakura hawa wenye vibanda nyakati za usiku hugeuka nguchiro na kuanza kutoboa kuta za viwanda kwa ajili...
 7. S

  Wanyonge waanza kumiliki barabara

  Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
 8. Mr faru john

  Je, Tozonia laweza kuwa jina zuri mbadala wa jina Wanyonge?

  Hello Bandugu. Baada ya msanii Nay the true boy kuja na wimbo wake, kugusa baadhi ya Mambo ambayo yanakera wananchi sana hususan 'WANYONGE' je ni sahihi kwa jina hili la 'Tozonia'? Nilishawahi kusema nchi hii ni tajiri namaanisha Tanzania ni tajiri sana, hata mwenda zake ilikuwa ni kauli yake...
 9. Komeo Lachuma

  Mchawi wetu wa kwanza ni Mwigulu Nchemba wa pili ni Wabunge na watatu ni...

  Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini. Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
 10. B

  #COVID19 Ni nani aliwaambia Wanasiasa wanapaswa kuchanjwa kwanza sisi Wanyonge tutafuata baadaye?

  Tunapokuwa na Taifa ambalo viongozi na watu wenye uwezo wanapewa kipaombele kwenye kila kitu tunakuza gap la usawa baina ya wananchi. Tumeleta dozi milioni moja kwa ajili ya watawala na wanasiasa wengi wakiwa ni wale waliopo madarakani na wastaafu kwa kisingizio kwamba wapo kwenye risk. Naomba...
 11. Shujaa Mwendazake

  TASAF jina la "Kaya Masikini" linawatisha "Watanzania wanyonge"

  Uhuru wa Maoni!
 12. Nyani Ngabu

  Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

  Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
 13. N

  Mwigulu Ijumaa ijayo atavuma tena, ushauri wa kupunguza kodi ya 1% ya mishahara ya watumishi wanyonge unamkosanisha Rais na Watanzania

  Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata...
 14. M

  Serikali Ingilieni Huu Ukatili: Hoshi Security Inawanyanyasa vijana wa Kitanzania

  Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno. Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
 15. muzi

  Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

  Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
 16. badison

  Tathmini ya madhara ya kiuchumi juu ya hizi tozo na makato miamala ya simu

  Natanguliza shukrani wasomi Evelyn Richard, University of Dar es Salaam Business School Pamoja Eliamringi Mandari, Bank of Tanzania Katika utafiti (study) uliochapishwa na chuo kikuu cha dar es salaam juu ya umuhimu wa mobile banking na lengo la kuanzishwa kwake. Katika utafiti wao walichukua...
 17. jingalao

  Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

  Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka. Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi...
 18. jingalao

  Yupo wapi Mbowe kuwatetea wanyonge kwenye hili la Tozo za Miamala ya Simu?

  Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka. Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi...
 19. Mzee Mwanakijiji

  Kha! Mara Kuna Wanyonge?

  Duh sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa wanatakiwa kuwa wazalendo na waoneshe uzalendo; sasa wanalipishwa kodi ya "uzalendo" wanang'aka...
 20. T

  Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

  Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
Top Bottom