Search results

  1. GeoMex

    Dereva wa Sauli kababatizwa

    #KIBAHA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimuhoji Dereva wa Basi la Sauli Luxury Namba T418 DWF litokalo Mbeya kuelekea jijini Dar es Salaam, kwa kuvunja sheria za usalama barabarani, leo Jumatano Agosti 4, 2021, Saa 2:17 Usiku, Mjini Kibaha, Mkoani Pwani. Cc Bujibuji
  2. GeoMex

    Weird facts (Utajua hujui)

  3. GeoMex

    Kesi ya Sabaya: Shahidi asema Mwenye duka alilazimishwa aseme hatoi risiti

    Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Shahidi huyo ambaye ni...
  4. GeoMex

    Mila za ajabu: Nimebaki na mshangao baada ya kusoma kisa hiki

    Mimi sio muhubiri au anayeshadadia habari za Haki za wanawake (Ufeminist) Ila katika pita pita zangu nimeshasoma visa vingi sana ambayo walifanyiwa wanawake kwa lengo la kumfurahisha mwanaume ila matokeo yake ikawa ni mateso tu na kutweza utu wao. Ni visa vya ajabu na vya kupingwa kabisa...
  5. GeoMex

    Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  6. GeoMex

    Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
  7. GeoMex

    Michepuko inaokoa😂😂

    Sio michepuko stress😂😂
  8. GeoMex

    Tunafuma na kuuza masweta ya nyoka

    Kipindi cha baridi hiki, mfugo wako asiteseke, tunafuma na kuuza masweta yao kwa bei nafuu. Mikoani pia tunatuma kwa bei nafuu.
  9. GeoMex

    Picture remake(Wakati huo na sasa)

    Najua kuna Uzi malum wa picha za zamani ambao hata mimi ni mchangiaji mkubwa. Ila Uzi huu nauanzisha rasmi kwaajili ya watu wanaopenda kutunza historia kwa kipindi hicho na sasa ulivyo Naanza na hizi hapa Baba na mwanae enzi za utoto Baba na mwanae siku ya Prom date Baba na mwanae siku...
  10. GeoMex

    Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  11. GeoMex

    Picha zilizopigwa na kutoa ujumbe tofauti na uliokusudiwa

    Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography) Object +Time+ Photographer Mkuu Emmanuel Kasomi asante kwa kunikumbusha kuhusu hizi picha za namna hii. Wacha niweke hapa...
  12. GeoMex

    Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu

    Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu
  13. GeoMex

    Big, Bigger, Biggest...

    Huu ni Uzi maalum naanzisha ntakua najaribu kushea "vitu vikubwa" ambavyo vimeshawahi kurekodiwa katika sehemu mbali mbali duniani. Namaanisha vitu ambavyo vimekua vikubwa kuliko kawaida tulivyozoea Niwe muwazi hii Idea imechochewa (inspired) na kipindi Fulani cha kiteknolojia kutoka channel...
  14. GeoMex

    Mkutano wa Wafanyabiashara Kariakoo na Serikali

    Inatia moyo kwakweli nadhani tunafungua kurasa mpya sasa. Kama watasikiliza na watakua tayari kutekeleza maoni. At least tutawashuhudia Herufi Tatu(TRA) wakija kwa majadiliano bila kuwa na FFU na makofuli ya kufunga fremu kwa kipindi kirefu sana Ila kama ni mkutano tu kama mingine iliyopita...
  15. GeoMex

    Wakenya wamevurugwa

    Wakenya bwana😂😂. Polisi wamekamata mama na mwanae wa kike wakiwa na Sniper Riffle, Uzi sub machine gun, bastola na risasi kadhaa wakiwa katika uwanja wa mbio za Farasi huko Dagoreti, Nairobi Maza sijui ni kucheza game za GTA kwa sana alitaka a practise in real life au vipi😂😂😂😂😂
  16. GeoMex

    Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

    Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi. Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March. Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa...
  17. GeoMex

    Usitoe mimba, usitupe mtoto

    A short story 1: 2: 3: 4: 5: 6: 7:Just open the latch and drop your newborn 8: 9:Anawalea watoto kama wajwake vile 10: 11:Na anao watoto wa kila rangi😂😂 12: 13: 14: 15: 16: The story of a big man with a big heart
  18. GeoMex

    Wazee wa kutuliza ghasia

    Huku nje huwezi elewa mziki wao. Ila ukiwa ndani, ndichi, lupango segedance ndo utawafahamu vizuri hawa😂😂
  19. GeoMex

    Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  20. GeoMex

    Kipanya ana maana gani?

Back
Top Bottom