ushuru

 1. Ngongo

  Ni kiongozi yupi aliyepisha kontena 70 bandarini bila kulipa ushuru?

  Heshima kwenu wanajamvi, Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole alinukuliwa akimtuhumu kiongozi mmoja aliyetaka kupitisha makontena 70 narudia makontena 70 bila kulipa kodi stahiki. Mbaya zaidi, eti kiongozi huyo kanuna, kakasirika, au ukipenda kasusa. Sasa najiuliza ni kwanini Kiongozi...
 2. miss zomboko

  China yatangaza kupunguza ushuru kwa bidhaa za kigeni kuanzia Januari 2020

  China imesema leo kuwa itapunguza ushuru kuanzia Januari mosi kwenye zaidi ya bidhaa 850 za kigeni ikiwemo nyama ya kuhifadhiwa ya nguruwe, madawa ya maradhi ya pumu na baadhi ya vifaa vya teknolojia ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Tangazo hilo linafuatia makubaliano ya muda ya kibiashara...
 3. N

  Burundi: Ushuru wa uchaguzi wafungua njia ya dhulma zaidi

  Shirika la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake iliyotolewa leo kuwa maafisa wa serikali na wanachama wa kundi la vijana linaloogopwa la chama tawala wanaitisha pesa kwa lazima za uchaguzi mkuu unaokuja Dhulma zinazohusiana na ushuru wa uchaguzi wa mwaka 2020 nchini Burundi...
 4. Kaka Pekee

  Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

  Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Top