Picha zilizopigwa na kutoa ujumbe tofauti na uliokusudiwa

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,775
Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography)
Object +Time+ Photographer

Mkuu Emmanuel Kasomi asante kwa kunikumbusha kuhusu hizi picha za namna hii. Wacha niweke hapa ambazo nimewahi kukutana nazo
Screenshot_20210501-155113.png

Perfect camouflage kama jamaa hajavaa nguo vile😀😀
 
Back
Top Bottom