Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,775
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.

Screenshot_20210414-205432.png


Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leo
Screenshot_20210414-205447.png
Screenshot_20210414-205456.png

Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari​
 
Back
Top Bottom