Unafiki wa viongozi wa serikali ya awamu hii ni wa kiwango cha juu kiasi cha kuhatarisha maisha yao ili tu kumfurahisha mfalme. Ndani yao Unafiki huu unawala taratibu na sura zao zinaonyesha.
NB: Sijajibu kuhusu mchoro wa Kipanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.