Picture remake(Wakati huo na sasa)

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,773
Najua kuna Uzi malum wa picha za zamani ambao hata mimi ni mchangiaji mkubwa. Ila Uzi huu nauanzisha rasmi kwaajili ya watu wanaopenda kutunza historia kwa kipindi hicho na sasa ulivyo

Naanza na hizi hapa
Screenshot_20210508-162915.png

Baba na mwanae enzi za utoto
Screenshot_20210508-162927.png

Baba na mwanae siku ya Prom date
Screenshot_20210508-162941.png

Baba na mwanae siku alipokua engaged😍😍
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom