james rugemalira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Baadaya James Rugemalira kuachiwa huru, Mwanasheria wa IPTL kuendelea kusota rumande mpaka Desemba 23

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemarila baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufuta mashitaka 6 ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yanamkabili tangu mwaka 2017. Mbali na...
  2. Roving Journalist

    James Rugemalira acquitted by the court

    The Director of Public Prosecutions (DPP) has dropped charges against Businessman James Rugemalira and the Court released him. On June 19, 2017 the PCCB took Seth Harbinder Sigh and ( Rugemalila to court for economic sabotage. They were arraigned in Kisutu Resident Magistrate's Court on six...
  3. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: James Rugemalira kaachiwa huru?

    Muda huu kesi mahakamani, James Rugemalira ameachiwa huru kutokana na kuonekana kesi ina milolongo isiyoeleweka. Mkurugenzi wa mashtaka DPP amefuta mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yanamkabili mfanyabiashara James Rugemalila na hivyo kusababisha mahakama kufuta kesi hiyo na kumuachia huru...
  4. figganigga

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  5. mshale21

    Rugemalira na mwenzake, waendelea kusota rumande kisa upelelezi

    Dar es Salaam Upelelezi wa kesi ya Uhujumu uchumi namba 27/ 2017, inayomkabili Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), James Rugemalira na mwenzake haujakamilika. Rugemalira na aliyekuwa Mwanasheria wa IPTL, Joseph...
  6. My Son drink water

    Kesi ya Seth na Rugemalira: Serikali haitendi haki

    Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama? Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki. Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa...
  7. GeoMex

    Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Back
Top Bottom