harbinder sethi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. My Son drink water

    Kesi ya Seth na Rugemalira: Serikali haitendi haki

    Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama? Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki. Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa...
  2. mshale21

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth, kulipa fidia ya Sh 26bilioni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth, kulipa fidia ya Sh 26bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu Chanzo: Mwananchi Pia, soma: - DPP amfutia mashtaka mfanyabiashara Herbinder Seth baada...
  3. GeoMex

    Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Back
Top Bottom