ghasia

Hawa Abdulrahman Ghasia (born 10 January 1966) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and a three-term Member of Parliament for Mtwara Rural constituency since 2005. She is the former Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ghasia za Oktoba 2025 Zilipangwa Kimakusudi

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kwamba ghasia za Oktoba 2025 zilipangwa kwa makusudi na si matukio ya ghafla. Ushahidi ulionyesha wazi kwamba kulikuwa na uratibu wa hali ya juu nyuma ya vurugu hizo, na mapendekezo ya Tume yanalenga kuzuia hali kama hiyo kutokea tena katika historia ya Tanzania yetu...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini tume za Samia kuhusu 'Ghasia za Uchaguzi' mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

    Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu? Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo? Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam? Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Wadanganywa Ghasia za Uchaguzi 2025

    Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki...
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi Ghasia: Mikakati Ya Kisiasa Nyuma Ya Machafuko

    Tume ilichambua nia, mikakati na malengo ya waliopanga na kutekeleza ghasia. Ilitofautisha vitendo vya ghafla na vile vilivyopangwa kwa makusudi ili kufikia matokeo ya kisiasa au kijamii. Ushahidi ulionyesha baadhi ya vitendo vilikuwa na mpango wa kuleta machafuko #SautiYaWananchi...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wafichua Siri za Ghasia

    Wananchi wamechukua nafasi muhimu katika kufichua siri za ghasia. Katika maeneo mengi, vijana walikuwa wakikusanywa na kufunzwa kwa muda mrefu. Ripoti inasema kuna nyumba salama Dar es Salaam iliyokuwa mita 10 tu kutoka kituo cha polisi, ushahidi wa ujasiri wa wahalifu na udhaifu wa ulinzi...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UCHAMBUZI: Maswali 10 Muhimu Kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande

    Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, ilikuwa na wajumbe wanane ambao ni: Dkt. Stergomena...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nje: Hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa Afrika Kusini katika ghasia dhidi ya Wageni

    HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia). Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi: Kutoka Ghasia Hadi Maridhiano

    Kutokana na ushahidi wa kina, Tume ilibaini kuwa ghasia zilikuwa na athari pana za kiuchumi na kijamii. Matokeo yalisisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya majadiliano ya kisiasa na kijamii. Ushirikishwaji wa wadau mbalimbali uliwezesha hitimisho thabiti kuhusu vichocheo na madhara. Hii ilifanya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Ghasia Oktoba 29 Zililenga Kuvuruga

    📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

    1. Viongozi wa TEC. Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine. 2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
Back
Top Bottom