james mbatia

James Francis Mbatia (born 10 June 1964) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and a nominated Member of Parliament since 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Kiburi na Jeuri cha kundi dogo la watu waliopo madarakani, chanzo cha mkwamo wa Katiba mpya

    Mwanasiasa James Mbatia amesema kuwa kinachozuia kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni kiburi na jeuri cha kundi dogo la watu waliopo madarakani, ambalo limeshindwa kufanya maamuzi kwa zaidi ya miaka 36. Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia alikumbusha mazungumzo yake ya mwaka 2002 na aliyekuwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Kisheria mimi ni Mwenyekiti halali wa NCCR-Mageuzi

    Mwanasiasa mkongwe, James Mbatia, amesisitiza kuwa kisheria yeye ndiye Mwenyekiti wa halali wa chama cha NCCR-Mageuzi kufuatia hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania. Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia ameeleza kuwa baada ya kuondolewa madarakani kinyume cha sheria, aliamua kufuata...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Msajili wa Vyama aliratibu nivuliwe Uenyekiti na kufukuzwa Uanachama

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilihusika katika mchakato wa kuondolewa kwake katika nafasi ya uenyekiti wa chama. Mbatia amedai kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa alikuwepo katika kikao kilichofanyika Salvation Army...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 James Mbatia atoa tamko kwa marais wastaafu Afrika 'Iokoeni Tanzania'

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia, ametoa wito kwa taasisi za kikanda kuwatuma viongozi wastaafu wenye ushawishi barani Afrika kusaidia kuratibu mchakato wa kuweka ukweli hadharani na kuhakikisha haki inapatikana kufuatia matukio ya siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia: Je, leo hii damu inamwagika kwa ajili ya Madaraka tu? ni laana kwa Taifa

    Mwanasiasa na Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia akizunguzma leo Novemba 5, 2025 ametoa Pole kwa Taifa kwa vifo vya kikatili vilivyotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Maandamano nchini. Pia amesikitishwa na hali ya kisiasa inayoendelea nchini ambayo imekuwa ya kumwaga...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia asisitiza "Tupeni miili ya vijana wetu tuwazike"

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia amesema hali iliyojitokeza siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, si suala la kisiasa pekee bali ni “maumivu ya wananchi walio wengi dhidi ya wachache”, kutokana na hali hiyo kugubikwa na maumivu, vifo- miongoni mwa mambo...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Mageuzi ya kisiasa Tanzania yalianza na NCCR

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, ameibua mjadala mzito kuhusu historia ya mageuzi ya kisiasa nchini Tanzania, akisisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichokuwa chimbuko la mfumo wa vyama vingi. Akizungumza na mtangazaji Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Mbatia ndio kwaheri kwenye siasa au bado ana nafasi tena?

    Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%. Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha maswali. Je, kimya chake ni tamaa iliyokufa, upepo aliokuwa akipima, au mapumziko ya kimkakati? Bado ana...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia: Tanzania kwanza mengine baadaye, tuache kiburi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Yanayofanyika na akina Polepole na Gwajima ni baraka kwa taifa

    Mwenyekiti wa wa zamani wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema yanayofanyika na akina Polepole, Gwajima na wengine ni baraka ndani taifa letu, hali inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari kwa taifa letu.
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Hakukuwa na haja ya Polisi kutumia nguvu Kanisani kwa Gwajima, si wangemuita tu

    Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu. Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia ahoji kulikuwa na haja gani ya kumfuata Askofu Gwajima kwa mitutu ya bunduki na Polisi?

    James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu. "Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
  17. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Migogoro inayoendelea nchini inatupeleka pabaya

    https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0 Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi. Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nauliza: Sasa kwa hukumu hii, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?

    Kwa hukumu iliyotolewa na mahakama, Je, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR? James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

    Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo. Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu...
Back
Top Bottom