milioni 500

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo...
  4. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

    Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Victor Mhagama akamatwa na TAKUKURU akiwa na Tsh. Milioni 500

  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

    Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala. Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GSM ameahidi bonasi ya TSh. milioni 500 endapo Yanga itashinda dhidi ya Simba

    Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

    Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji. Tajiri, nina neno moja kwako. Msimu huu umefanya mambo makubwa sana pale Simba. Kikosi kinaeleweka, heshima inarudi katika ligi ya ndani na kimataifa. Kuna uhuni mmoja ambao nafahamu unaujua maana malalamiko haya yamekuwepo kwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ndege zilizotengenezwa Tanzania, zinauzwa milioni 500, Kwa bei hii wewe tu 'Upae au daladala'

    Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya Dola za kimarekani 220,000 sawa na shilingi milioni 500 za Kitanzania. Gharama Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga kulamba Milioni 500 wakiifunga TP Mazembe

    Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe. Matajiri na vigogo hao...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
  13. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto athibitisha kuwa Kenya imelipa Kshs Milioni 500 kwa waandaaji wa Grammys ili tuzo zifanyike nchini humo

    Wakuu, Hivi karibuni Rais William Ruto amedokeza kuwa kuwa serikali ya Kenya tayari imelipa Tshs Milioni 500 Kenya iweze kuwa mwenyeji wa tuzo za Grammys mwaka 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa Townhall Jumatatu usiku, Ruto alisema kuwa hili linaweza kuthibitishwa na wawakilishi wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mradi wa Maji katika Kijiji cha Bukundi (Meatu - Simiyu) unaodaiwa kugharimu Tsh. Milioni 500 ulitoa Maji kwa miezi mitatu tu

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi mitatu tu, tunaomba kujua hatma ya mradi huu na huduma ya maji kwenye kijiji chetu. Mwaka 2016...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
  16. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenye milioni 5 tushirikiane kuendeleza shamba la miti kisha tutagawana faida baada ya mavuno

    Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

    Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 500 Kujenga Barabara za Lami Lupembe

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa. Katimba amesema hayo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Zanzibar waunga mkono michezo bara kwa Hundi ya milioni 500

    Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar. Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo. Huu ni upendo mkubwa na kudumisha muungano wetu. Hundi hiyo inakabdhiwa TFF.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Davido kutoa Tsh. Milioni 500 kwa vituo vya watoto yatima vya Nigeria

    Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
Back
Top Bottom