DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
320
412
"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo.

Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa kwani fedha hizi zimetokana na tozo mpya ya miamala ya simu tunayokatwa wananchi.

Niwahakikishie wananchi wenzangu wa Iramba Serikali imedhamiria kuwapatia huduma bora wananchi wake."

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda.
 
Kazi Inaendelea Iramba na Mkuu wa Wilaya Bingwa sana Mhe Suleiman Yusuph Mwenda. Iramba hii itapaa sana
 
WILAYA YA IRAMBA YAPOKEA MILIONI 500 ZA UJENZI WA VITUO VYA AFYA VYA KISIRIRI NA TYEGELO.


"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa kwani fedha hizi zimetokana na tozo mpya ya miamala ya simu tunayokatwa wananchi. Niwahakikishie wananchi wenzangu wa Iramba Serikali imedhamiria kuwapatia huduma bora wananchi wake."

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda

IMG-20210826-WA0005.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom