saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi.
Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa maeneo ya Vijijini. Kwa ajili hiyo, tumetenga Shilingi Milioni 500 ili kufanya kampeni kubwa ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia pamoja na tafiti za kubaini nishati, mfumo sahihi na vivutio vya kusambaza nishati hiyo kwa maeneo ya vijijini matumizi ya kuni na mkaa ambazo pamoja na athari za kiafya pia zinachangia sana uharibifu wa mazingira.
CHANZO: Sehemu ya Hotuba ya Waziri wa Nishati Mwaka 2022/2023