suleiman yusuph mwenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mwenda: Waandishi andikeni makubwa yaliyofanywa na wanawake nchini

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru. Mhe. Mwenda ametoa ombi hilo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati akihutubia maelfu ya wananchi...
  2. B

    DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

    MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
  4. B

    DC Iramba awazawadia walimu Shule ya Sekondari Lulumba safari ya kwenda mbuga wanayotaka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
  5. Stephano Mgendanyi

    DC Mwenda atoa majibu ya kero tano (5) nzito Wilayani Iramba, Singida

    ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda alipokea changamoto ya maji ambayo Mwakilishi wa Meneja wa RUWASA akatoa...
Back
Top Bottom