mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sitamtelekeza tena mke wangu kama nilivyosema awali ila nafikiria njia nzuri ya kumuacha

    Baada ya kuandika uzi kuhusu kumtelekeza mke wangu maana nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita, Sasa wakati natafakari njia nzuri ya kumuacha maana bado Niko nae ,leo tukiwa tumelala nikaamua nichakate mbususu maana Nilikua na upwilu baada ya kuchakata nikalala...
  3. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtapata mrejesho

    Wadau mtapata mrejesho usio na kelele. Mrejesho utakuwa wa kimya ila mwangwi wake mtausikia. German vs ivory Coast
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka Kampuni ya VIWANJA TANZANIA posta Dsm natoa mrejesho hapa

    Leo nilikuwa Ofisi ya wauzaji wa viwanja kampuni ya " VIWANJA TANZANIA " posta mpya Mtaa wa Ohio, Nyumba ya Maarifa, ground floor. Jirani na IT Plaza, inatazamana na ATCL. unaweza kuwachek wanaviwanja sehemu mbali mbali ndani na nje ya Dsm viwanja vya biashara viwanja vya makazi sea view...
  7. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisani. Last Sunday nilienda

    Hi👋👋 Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisa. Last Sunday nilienda. Kuacha tabia uliyoizowea ni ngumu sana aisee. Binafsi kwa kipindi hiko nilikua naona kuna kitu kimepungua mwilini so I swallowed my Ego🥺 Zingatia...
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu huduma ya kituo cha wateja

    Mpendwa Mlipakodi, Asante kwa mrejesho wako kuhusu huduma ya kituo cha wateja. Tunasikitika kwa usumbufu uliopata, hasa katika matumizi ya mfumo na module ya remission. Tumeanza kuchukua hatua za kuboresha huduma kwa kuwajengea watumishi uwezo stahiki wa mifumo ili kukuhudumia kwa haraka na...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kikao Pakistani kwa uchache

    Wandugu karata zimeanza kurushwa Marekani kaanza kurusha karata Karata yake ya kwanza Hormz Open Sasa tujiulize hivi wanavyoiaminisha dunia kwamba ni 20% ya mafuta duniani yanapita pale je ni kweli ,? kwa mshituko huu wa dunia ni dhahiri ni 75% kwa hiyoHormz imekuwa hatari kuliko nuclear...
  10. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Habari ndugu... Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka.. Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu... Kiufupi...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Lile dimbwi la pale Police Mbande limefukiwa, tunashukuru kwa wahusika

    Hoja ya awali ~ Barabara ya Mbande - Kisewe Stendi eneo la Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linasababisha usumbufu
  13. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
  14. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  16. JOHNGERVAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

    Nandy alitangaza show tarehe 19 dec arusha. Leo tarehe 20, je alifanya hiyo show au kapima upepo kaona show itadoda?
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto. Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu yalionesha kulikua namsuguano kwenye UTI wa mgongo maeneo ya kiuno ambapo tatizo Hilo lilisababishwa...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kulala na muathirika wa VVU

    Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
  20. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

    Mzuka wana Jamvi ? Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
Back
Top Bottom