marekani

  1. MK254

    Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Aina mpya ya drone boat, yaani aina ya mashua inayosafiri yenyewe bila nahodha na yenye uwezo mkubwa, imepita pale Strait of Hormuz huku Irain wakishangaa shangaa... ======================= The U.S. Navy sailed its first drone boat through the strategic Strait of Hormuz on Wednesday, a crucial...
  2. L

    Taarifa za intelijensia zilizovuja yaweka wazi uhusika wa Marekani katika suala la Ukraine

    Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu ambazo askari wake wako na aina ya silaha walizonazo. Moja ya nyaraka hizo imeandikwa “Siri Kuu” na...
  3. Wadiz

    Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

    Hello family, Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani, Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara. Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo...
  4. Nyuki Mdogo

    Hivi huko Marekani: Kijana wa miaka 16 apigwa risasi baada ya kukosea nyumba

    Kutoka nchini Marekani, Mzee mwenye umri wa miaka 84, Andrew Lester anatuhumiwa kumpiga risasi kijana wa miaka 16 aliyekosea anuani ya nyumba aliyokuwa anaenda na kuenda kupiga hodi nyumbani kwake. Ralph Yarl siku ya Alhamisi alitumwa na wazazi kwenda kuwachukua ndugu zake kwa kupewa anuani ya...
  5. Yoda

    Mambo yasiyonipendeza na kuvutia sana Marekani

    1. Biashara holela ya bunduki kwa raia Hizi taarifa za kupigana sana risasi hovyo hovyo kila siku kwa sababu ya biashara holela ya silaha isiyo na udhabiti mpana kama mataifa mengine ya West na yaliyoendelea zinasikitisha na kutia doa sana Marekani. Kifo cha risasi kwa watoto ndicho chanzo...
  6. B

    Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  7. Allen Kilewella

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi. Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye...
  8. Mributz

    MTOA SIRI ZA MAREKANI YU MIKONONI MWA WABABE

    Jack Tixeira (21) mfanyakazi wa Jeshi la Anga la Marekani chini ya kitengo maalumu cha ulinzi wa taifa, ameshtakiwa rasmi katika Mahakama huko Boston kwa kuvujisha nyaraka za siri. Tixeira ameshtakiwa kwa makosa ya usambazaji wa taarifa za ulinzi pamoja na uhamishaji na uhifadhi wa nyaraka za...
  9. Allen Kilewella

    Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  10. Zacht

    Kamikaze drone ya Russia imeharibu mzinga hatari wa marekani

    Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa. Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled howitzer uliokuwa na masaada mkubwa kabisa katika uwanja wa vita kwa upande wa Ukraine, uliotolewa...
  11. Hismastersvoice

    Rais Joe Biden wa Marekani ni kizazi cha Ireland

    Kama alivyokuwa Obama kizazi cha Kenya ndivyo alivyo Biden kizazi cha Ireland na Rishi kizazi cha India. Rais Joe Biden ataitembelea Ireland na kuzuru maeneo ya kizazi chake. === US President Joe Biden will return to his roots in County Mayo on Friday on the final day of his visit to Ireland...
  12. Suley2019

    Marekani yamkamata mlinzi wake wa Anga kwa kuvujisha Nyaraka za Siri

    Kitengo cha upelelezi cha Marekani (FBI) kimemkamata mlinzi wa anga mwenye umri wa miaka 21 huko mjini Massachusetts kwa madai kuhusika kwenye uvujishaji wa nyaraka za siri za kijeshi (Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon). Soma: Nyaraka za siri za Marekani na mpango wa kumuua Putin zaanikwa...
  13. Richard

    Marekani yamkamata alievujisha taarifa za siri za kijasusi

    Kijana Jack Teixeira akielekezwa kwenda kwenye gari ya maofisa wa SWAT kutoka FBI. Picha na CNN Jack Teixeira kijana mwenye umri wa miaka 21 ambae ni mwanajeshi katika jeshi la anga la Air National Guad ambalo lipo katika mji wa Masachusetts. Kijana huyo tayari yupo mikononi mwa FBI na...
  14. 6 Pack

    Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  15. kimsboy

    Nyaraka za siri za Marekani na mpango wa kumuua Putin zaanikwa

    Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari. Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni jambo hatari na kwamba suala hilo ni uvujishaji mkubwa wa taarifa za kijasusi. Sambamba na hayo...
  16. JanguKamaJangu

    Marekani: Elon Musk apinga mpango wa kuifungia TikTok

    Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa kuwa ni za usalama. Elon Musk amesema "Sikubaliani na wowote unaohusisha kuifungia TikTok japokuwa...
  17. Yoda

    Bunge lingefanya kazi za kibunge kwa kamati, jifunzeni kwa Bunge la Marekani

    Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi hauna tija kwetu inabidi tuachane nao tu. Ilipaswa kuwe na kamati za kisekta za bunge kujadili na...
  18. L

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo...
  19. S

    BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  20. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
Back
Top Bottom