marekani

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Jinsi nguvu ya Marekani inavyoanguka taratibu duniani

    Wasalm alaykum tena wana Jf. Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization. Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali...
  2. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jomo Kenyatta anayebeba boksi Marekani

    Nimefuatilia hii hadithi, nadhani ni kweli kuwa jamaa huyu ni mtoto wa hayati mzee Jomo. https://www.youtube.com/watch?v=B9GsiVtTRek
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

    Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio hilo tujikumbushe kidogo. Sehemu ya upande wa kaskazini mwa jengo la WTC muda mfupi baada ya...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

    Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi? Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
  5. Alibino

    JamiiForums Tanzania Marekani anaitafuta nini Venezuela?

    Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!! Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu? Kwanza alimletea chokochoko mchina uzuri wake wachina huwa wanacheka na kima wakamkaushia, akatoka hapo akaleta...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wabunge wazichapa live kwenye Seneti huko Mexico kisa Marekani

    Kikao cha Seneti ya Mexico kilivurugika Jumatano baada ya wabunge kushikana na kupigana kufuatia mjadala mkali kuhusu iwapo Marekani inapaswa kuingilia kupambana na magenge ya dawa za kulevya nchini humo. Vurugu hizo zilikuwa kali kiasi cha kumwangusha mpiga kamera aliyekuwa akirekodi tukio...
  7. fact only

    JamiiForums Tanzania Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa CDC Afutwa Kazi, Maofisa Wakuu 4 Wajiuzulu Kufuatia Mabadiliko ya Sera za Chanjo Marekani

    Mkurugenzi wa U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC), Susan Monarez, amefutwa kazi na Ikulu ya Marekani ya utawala wa Rais Donald Trump, chini ya uongozi wa Waziri wa Afya Robert F. Kennedy Jr. Hatua hiyo imekuja ndani ya mwezi mmoja tangu aapishwe. Kufutwa kwake kunafuatia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ‘Kugeuza msaada kuwa biashara’ inaficha mikakati mitatu ya Marekani

    Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

    Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika. Tom Barrack ambye ni Balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na Rais...
  11. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

    Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukichana Bendera ya Marekani- Kifungo mwaka mmoja!

    Baada ya waarabu kueneza tabia ya kuchana na kuchoma Bendera za Marekani sasa Rais wa Marekani amekuja na Muarobaini wa kuamua kuwafunga a kuwafukuza Marekani wote watakaofanya vitendo hivyo vya kihuni!!! Pia amewataka wote ambao hawaipendi Marekani waondoke huko warudi uarabuni haraka sana!
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jehanamu la Watoto: Hadithi ya shule ya Dozier School for Boys – Gereza la Kikatili kwa Vijana Marekani

    Wapo watakaosema kuwa magereza hatari kwa vijana inaweza kuwa ni Komboinsin Juvenile Prison kutoka Burkina Faso, ama lile gereza la Gitarama ambalo kwa sasa linaitwa gereza la Muhanga kwa Kagame lililopo ndani ya taifa la Rwanda, ama gereza la Nsinda. Lipo kundi la watu wengine watakuja mbele...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Front-Running na Market Manipulation: Sababu za Hedge Funds Kushitakiwa Marekani

    Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama front-running na market manipulation vinapingana na sheria za Marekani, na vinaweza kusababisha kesi za...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump na Marekani ni kuidondosha EU, sio Urusi

    Adui namba moja wa uchumi wa Marekana ni Ulaya iliyoungana na sarafu ya euro. Marekani inakasirishwa na upanuzi wa umoja wa ulaya kuelekea Mashariki. Upanuzi huu wa ulaya unaibana Marekani kwa upande mmoja na China kwa upande mwingine na baadae BRICS kwa upande uleee. Uingereza kujitoa kwenye...
  16. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Credit Rating Agency kama Fitch na Moody`s hawawezi kuipendelea Tanzania wao kama ni nyeusi wanaita nyeusi hata Marekani wanaishusha

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  18. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China

    Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi. Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora. Xi Jinping Mi mi
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania “Kuamka” kwa Raimondo na ugonjwa sugu wa kisiasa wa Marekani dhidi ya China

    Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya vita baridi: kwa nini kgb ilituhumu marekani kuunda na kusambaza VVU

    Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
Back
Top Bottom