kukosea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  3. Black Legend

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, hebu chutama ukubali kukosea

    Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa kauli za kujierka pembeni katika makosa makubwa yaliyotokea. Kama mtuhumiwa namba moja wa ukiukwaji...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kukosea Tahajia(Spelling) Unapoandika Mada ni Dalili ya Ulegevu

    Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha. Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua...
  5. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Hii ni kukosea au kutojua. Kwa heshima inastahili kuwepo picha za JPM daraja la Kigongo- Busisi na siyo vinginevyo

    Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo. Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
  6. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosea na kujua wapi tumekosea hututarajii kukosea tena

    Ulishawahi kukosea kujibu maswali, ukapewa nafasi ya kufanya masahihisho (correction), unakusanya baadae matokeo yanatoka, umekosa maswali yote tena.😎 Taarifa(picha) za watu Maalumu zitakuwa(wekwa) hadharani. Hali hiyo itakua ishara ya maboresho/masahihisho yasiyo sahihi katika nyaraka...
  7. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Viongonzi wa vyama vya upinzani mnafanya kazi nzuri ila kuna sehemu mnakwama kama sio kukosea.

    Happy new year . Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani. Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies . Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  11. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nape hajatania wala kukosea, huo ndiyo ukweli wenyewe

    Ingekuwa kwenye nchi ya kidemokrasia na inayoiishi demokrasia, Waziri Nape Nnauye angeshapoteza uwaziri na ubunge wake muda huu. Angepoteza kwa shinikizo la wananchi au kuondolewa na Rais aliyemteuwa. Lakini hapa kwetu, Nape bado anadunda na anakejeli kwa kusema eti amechakachuliwa video yake ya...
  12. Dexta

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Saint Francis huwa hawaibi mitihani, Wana mifumo mizuri ya kumfanya mwanafunzi awe kasuku wa kuweza kujibu NECTA, ni ngumu sana Kasuku kukosea

    MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI. interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku. KUTRAIN KASUKU mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
  14. Doto12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

    Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa. Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta. Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi. Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumefungwa kwa kukosea Masharti ya kupeleka Misaada kwa Yatima tu pekee na Sisi kupeleka kwa Wanafunzi wa Shule?

    Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata mfanyeje sawa? Kudadadeki......!!
  16. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

    Wanabodi, Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na TCRA kukosea jina lao kwenye ripoti yao

    Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
  19. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

    Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea ======== Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
Back
Top Bottom