Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,826
4,076
Wakuu vipi, kwema.

Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo.

1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani:
Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka huko Mashariki ya kati, kati ya vikosi vya Israel na Palestina. Marekani wakaamua kuja na scandal la uvujishwaji wa nyaraka za siri ili kuwatoa watu kwenye mood ya kutaka kujua ni hatua gani taifa hilo lenye nguvu, na ushawishi mkubwa duniani litachukua dhidi ya yale yanayoendelea huko Mashariki ya kati.

Ikumbukwe Marekani ndio hujifanya kiranja wa kila kinachoendelea hapa duniani. Kwahiyo kitendo chake cha kukaa kimya without to say anything, or to do something kitafanya watu waone kuwa USA inaunga mkono yanayoendelea huko Mashariki ya kati. Sasa ili kufunika kombe ili mwanaharam apite, ndo likaanzishwa zengwe la nyaraka za siri na mpango sijui wa kumuua Putin, nyaraka za kijeshi nk ili watu waanze kuwa busy kuzijadili nyaraka za kumuua Putin badala ya kile kinachoendelea huko Mashariki ya kati.

2) Nikimalizia na nchi yetu Tanzania:
Nayo iko vizuri katika medani ya ufukiaji wa mashimo, haswa linapokuja swala la kuikaba koo serikali au chama tawala (ccm)

Ndo maana baada ya mh CAG kuja na kile kinachoonesha kuwa kuna ufisadi mkubwa umefanywa na watumishi ambao waliaminiwa na serikali, hadi kupelekea hali ya hewa kuchafuka nchini. Sasa game limegeuzwa ambapo sasa hivi mada zinazojadiliwa kwa nguvu zote ni zile zinazohusu ushoga, huku hili la waliochota mabilioni ya shilingi likionekana kufifishwa kwa nguvu kubwa kutoka kusikojulikana. Pia na hii lengo lao ni lile lile la kufunika kombe ili mwanaharam apite.

Haya ngoja tuone mwisho wa haya yanayoendelea kwa Marekani na Tanzania yetu.
 
Hayana umuhimu ya mh.Gac vinginevyo ingejadilwa bungeni,ngojq nikwambie kitu labda hukijui kwa hili bunge,wabunge wote walioko bungeni ni zao la JPM watu kama hakina Gwajima ni Plan ya mwenda zake yule Mchungaji kuwepo.
Ishu ya CAG ni mpango wa baadhi ya watu kumtumia ili kumchafua JPM na hawamu yake ya Tano ili kumfagilia huyu wa hawamu ya sita na kundi Lake la Msoga.
Wanamshangilia Tu Mama kwa sababu tu Masirahi yao Bungeni ila hakuna kitu,Jiulize leo mwezi wa nne ila Spiika wa bunge anasema report itajadiliwa mwezi wa kumi na moja.
Hakuna Mbunge mule yumo bungeni na atakuwa tayari kumchafua JPM.
 
Vishoga vimekuwa vingi sana mkuu - kuhusu ripoti ya CAG nani? Atamuajibisha mwenzake
 
WEWE inasemekana ni Papai sio kwa kujitetea hivo
 
Wewe ni mtanzania au ni mtu wa kutoka nchi jirani?

Hivi kuna Mtanzania asiyejua kuandika kwa lugha ya Kiswahili?

"Hawamu, hakina, masirahi" huko kwenu humaanisha nini?
 
Hayana umuhimu ya mh.Gac vinginevyo ingejadilwa bungeni,ngojq nikwambie kitu labda hukijui kwa hili bunge,wabunge wote walioko bungeni ni zao la JPM watu kama hakina Gwajima ni Plan ya mwenda zake yule Mchungaji kuwepo.
Ishu ya CAG ni mpango wa baadhi ya watu kumtumia ili kumchafua JPM na hawamu yake ya Tano ili kumfagilia huyu wa hawamu ya sita na kundi Lake la Msoga.
Wanamshangilia Tu Mama kwa sababu tu Masirahi yao Bungeni ila hakuna kitu,Jiulize leo mwezi wa nne ila Spiika wa bunge anasema report itajadiliwa mwezi wa kumi na moja.
Hakuna Mbunge mule yumo bungeni na atakuwa tayari kumchafua JPM.
Hii report mbona ni ya 2022 wakati JPM ashafariki. Sasa wana mpango wa kumchafuaje mtu ambae hayo yalifanyika akiwa hayupo?
 
Vishoga vimekuwa vingi sana mkuu - kuhusu ripoti ya CAG nani? Atamuajibisha mwenzake
Ndo inatakiwa mambo yote yabalansiwe, sio hili swala la mafisadi lifukiwe kiaina kupitia la mashoga.
 
Report ya CAG ishatolewa maelezo kwamba itasomwa mwisho wa mwaka yani November.
Kwa hiyo ngoja tusubiri muda uliopangwa ufike. Hayo mengine ni kawaida, huwa yanajadiliwa muda wowote tena na mtu yeyote.
 
From April to November, yani miezi 7 ijayo?
 
Back
Top Bottom