marekani

  1. Yoda

    Yaripotiwa Elon Musk kutwangana makonde na waziri wa fedha wa Marekani, Scott Bessent

    Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
  2. Kipenzi Changu

    Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

    Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  3. D

    2025 wabunge wanaenda kuwa wengi inaweza karibiana na marekani . Kwa nchi ndogo Kama yetu

    I will be short Majimbo yanazidi kuwa mengi , gharama zinakuwa kubwa . Hizi pesa serikali Itatoa wapi ?? Majimbo mengi Inchi mdogo . What’s going on ?? Hapo Dc na RC . A Naongea na wabunge 3-4 kila Wilaya ?? Hivi sisi watu weusi tumechanganyikiwa au ?! Hatuna hela , tuna increase...
  4. technically

    Ni kweli serikali ya Samia inaagiza Mayai na kuku wa kula Ikulu Marekani?

    Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates? Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani? Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8 Ikulu njooni...
  5. W

    Chad yasitisha Visa kwa Raia wa Marekani baada ya Trump kufutia nchi 12 Visa

    Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani. "Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
  6. R

    Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  7. I

    Trump apiga marufuku raia wa nchi 10 za Afrika kusafiri kwenda Marekani

    Trump apiga marufuku raia wa nchi 10 za Afrika kusafiri kwenda Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amesema hatua hiyo inalenga kuwalinda Wamarekani dhidi ya vitisho vya usalama vya "kigeni". Bara la Afrika ndilo bara lililoathiriwa zaidi na marufuku ya kusafiri iliyotangazwa na Rais wa...
  8. P

    Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  9. Echolima1

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
  10. Mlaleo

    Vedeo - Rubio -Marekani yasema NO VISA ya kuingia Marekani kwa wenye chuki binafs na Israel waisahau Marekani

    Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
  11. gallow bird

    Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

    Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel Hata kule...
  12. Waufukweni

    Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  13. Carlos The Jackal

    Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

    "Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!. Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru...
  14. Webabu

    Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  15. Carlos The Jackal

    Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  16. Lord Denning

    Kituko Mkutano Mkuu CCM: Wajumbe wamshangilia Mjumbe Chama Kikuu Urusi aliyesifia Utekelezaji wa Miradi ambayo kwa 90% imefadhiliwa na Marekani na EU

    Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao. Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
  17. Lord Denning

    Kamati ya Masuala ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yatoa tamko kuhusu Masuala ya Utekaji na Utesaji wa Watu nchini Tanzania

    Kumekucha! Muda mchache uliopita Kamati ya Bunge la Senate la Marekani limetoa tamko zito la kushtushwa na hali ya kuongezeka vitendo vya utekaji na uteswaji wa watu vinayotokea Afrika Mashariki hasa nchini Tanzania. Mungu wabariki Wazungu. Waje kutusaidia kuwaondoa hawa wakoloni weusi. God...
  18. Manyanza

    Elon Musk atangaza kuondoka katika utawala wa Rais Trump wa Marekani

    Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya shirikisho. "Wakati wangu niliopangiwa kama Mfanyakazi Maalum wa Serikali unakamilika, ningependa...
  19. M

    Watanzania kwenye jeshi la Marekani

    Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani, Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
  20. Just Pray

    Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
Back
Top Bottom