Kama kuna mtu yeyote anayo taarifa za muendelezo wa taarifa za huyu mwanajeshi wa Marekani. Zimepita siku nyingi sasa, amefikishwa mahakamani? Amefunguliwa mashataka yapi? Ameachiliwa?
Mbona hatukuambiwa chochote tena?
Sema huyu mwamba ana şura ya kinyakyusa sana, na hilo koti lake la soko la...
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema...
Ubalozi wa Marekani umeandika katika ukurasa wake wa X
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya injini za TAZARA zina nembo ya ushirikiano ya Marekani? Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya...
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.
wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
china
cuba
hai
hofu
kujiandaa
kutoka
kwasababu
marekani
muungano
nchi
nyerere
sababu
shinikizo
uhuru
uhuru wa zanzibar
urusi
ushawishi
vita
waingereza
wakati
wamarekani
wenzake
zanzibar
Polisi hii ya kupiga risasi vijana ndiyo yenye uwezo wa kumshika Mwanajeshi wa Marekani tuache ujinga na uongo. Mwanajeshi wa Marekani akishikwa ni swala la kitaifa mpaka sasa jeshi la Marekani halijasema kitu.
Pili kama alikuwa mwanajeshi zamani sasa atakuwa mwanajeshi mstaafu. Kuna kitu...
Kwa tukio kama hili, jibu la Marekani ni muhimu sana si kwa sababu ya yule aliyekamatwa, bali kwa ajili ya usalama wa taifa na ukweli. Ukimya wa Marekani utawapa CCM nafasi ya kuendelea kutengeneza simulizi yao ili kufunika mauaji ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Taarifa rasmi kutoka Marekani...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃
Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF?
Hayo mabomu...
Umeua maelfu ya Wananchi wako.
Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie.
Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi.
Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa...
Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Rais Samia Suluhu...
Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa harakati za watu. Huduma ya intaneti bado imezuiwa, jambo linalosababisha ugumu katika mawasiliano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.