kugomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

    Haya mambo ya sikukuu haya!! Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...
  2. BARD AI

    Dodoma: Wanafunzi 17 wadaiwa kutimuliwa baada ya kugomea somo lililofutwa na Serikali

    Wanafunzi 17 wanaodaiwa kusoma kozi ya Afya ya Jamii (Community Health) katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Decca) ambayo ilifutwa tangu mwaka 2019 wameiomba Serikali kuwapatia sehemu ya kuishi wakati wakisubiri hatima yao baada ya kufukuzwa na uongozi wa chuo hicho. Wanafunzi hao...
  3. Allen Kilewella

    Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  4. K

    Mtoto kugomea shule akiwa kidato cha Nne

    Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023! Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
  5. BARD AI

    Arusha: Aliyemuua mwanaye kwa kugomea Jando ahukumiwa Kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watatu wakazi wa mkoani Arusha akiwemo baba aliyemuua mwanaye wa kidato cha pili baada ya kugomea jando. Hukumu hizo zimetolewa leo Jumatano Februari 15, 2023 baada ya watuhumiwa hao kutiwa hatiani na mahakama hiyo katika...
  6. peno hasegawa

    Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  7. M

    Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

    Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo. Hapa duniani ziko nchi ambazo zimedhihirisha uthubutu wa kuiambia marekani ikome kuingilia maamuzi yao na...
  8. sky soldier

    Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

    Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
  9. MK254

    Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  10. Roving Journalist

    Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
  11. E

    CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  12. M

    Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  13. W

    Je, CHADEMA wataendelea kugomea ruzuku?

    Waungwana, Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya. Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko. Je, Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
  14. luangalila

    Hata Yanga waliwahi kugomea mkataba wa AZAM tv na TPL board mwaka 2013

    Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya Simba kugomea nembo ya kampunil iyo. Naomba niwakumbushe ya kuwa Ata Yanga mwaka 2013 chini ya...
  15. kavulata

    Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

    GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo. Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
  16. demigod

    Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

    Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC. Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba. Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za...
  17. B

    #COVID19 Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  18. Pascal Mayalla

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
Back
Top Bottom