Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset.
"Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu.
Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul.
Kutokana na misimamo mikali ya...
Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la Illinois alipokuwa katika operations za ICE. Mwanamama huyo amemtupia lawama Gavana wa jimbo hilo...
US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
Marekani wanabishania budget ambapo imebidi fedha zisitishwe kwa mwaka wa fedha ambao kwao unaanza October 1. Hii ni kufuatia kutokubaliana na ile One big beatiful bill ya Trump.
Hii imepelekea balozi nyingi kuacha kutoa huduma kwa kuwa mishahara haitaingia hadi suala hilo la bajeti likifika...
Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu kinachofuata
Ni mara nyingine tangu 2019 Serikali kufunga shughuli zake, ambapo vyama vya Republican na...
Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na China?
Ajue China siyo Iran au Syria au Yemen. Anyway. Nachomkubali Netanyau ni kujiamini kwake na...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita.
Netanyahu aliondoka Telaviv...
Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko.
Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu.
Soma pia...
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao
Zamani...
Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism.
Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha.
Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.