marekani

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania WAAJEMI WAMEFANYA ASKARI WA MAREKANI KUWEUKA NA KUKENGEUKA

    The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Raia fake wa Marekani wajazana huko Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi)!!!!

    Uchunguzi mpya uliofanywa na harakati ya Regavim unaelezea jinsi mkusanyiko mkubwa usio wa kawaida wa raia wa Marekani katika kijiji cha Kiarabu cha Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) umekuwa utaratibu wa kusababisha shinikizo la kisiasa na kidiplomasia kwa Israeli. Takriban...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kijeshi ya marekani na korea kusini yapunguzwa kwa siku sita

    Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza. Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Trump aagiza kupunguzwa kwa Mazoezi ya Kijeshi ya Marekani na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake na Kim Jong Un

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani itapunguza kwa kiasi kikubwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake mzuri sana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un. Trump pia alisema kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Korea Kusini hivi karibuni...
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Gazeti jipya "CELEBRITY" laipindua jarida la "FOX" Marekani.

    Gazeti hili huandaliwa na C-C Digital Pro na kuhaririwa na Civilian-Coin. Hutoka Kila baada ya siku Moja.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper akiwa na Benjamin Netanyahu

    Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper anasukuma mashambulizi mapya kati ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran, ikiwa ni pamoja na miundombinu ya mafuta, gesi, na umeme. Aliwaambia maafisa wakuu wa IDF kwamba mashambulizi kama hayo yanaweza kuilazimisha Iran kubadilisha msimamo wake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Trump anatishia nyau kutangaza eneo la Hormuz kuwa 'eneo la Marekani'

    Aisee Hili zee pumbavu limeshachanganyikiwa Kilichobaki ni kubwabwaja na kulialia kama toto dogo Donald Trump ametishia kutangaza mlangobahari wa Hormuz kama "eneo la Marekani" huku utawala wake ukipambana kumaliza vita na Iran. Wakati wa hotuba katika chuo cha polisi huko Long Island, New...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Trump apiga ban wanaokwenda kujifungulia Marekani ili kupata uraia

    Utawala wa Trump umeunda kikosi kazi cha kimataifa kinacholenga kupambana na biashara ya kinachoitwa "utalii wa uzazi" (birth tourism), kikilenga watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya visa za Marekani kusafiri nchini humo kwa ajili ya kujifungua. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya teknolojia ya AI ya China vyapingwa na mashirika ya Marekani

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya karibu 200 ya Silicon Valley nchini humo, yakishirikiana na makampuni makubwa yakiwemo Meta, Nvidia, na...
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati

    Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu kwa manufaa ya nchi hizo mbili...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zaahidi kuendeleza ushirikiano katika nishati, afya na uwekezaji

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanaotekeleza "dini ya amani" walivyouawa na Marekani !

    Osama bin Laden: Kiongozi na mwanzilishi wa Al-Qaeda, aliuawa na vikosi maalum vya Marekani nchini Pakistan mnamo Mei 2011. Abu Bakr al-Baghdadi: Kiongozi mkuu wa kundi la Dola ya Kiislamu (ISIS / Daesh), alijiua kwa kulipua bomu wakati wa operesheni ya jeshi la Marekani nchini Syria mnamo...
  18. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA chini ya Alexander Ceferin yamteua Omar Artan kuchezesha Uefa Super Cup

    Mwamuzi kutoka somalia Omar Artan ( 34 yrs) baada ya kukataliwa kuingia Marekani Kuchezesha kombe la Dunia 2026 , kuchezesha Uefa Super Cup kati ya Paris. Saint German PSG VS Aston Villa Usiache kamwe kuota ndoto yako .” ✨ 🇸🇴🏆 Kutoka Somalia hadi kwenye UEFA Super Cup, Omar Artan...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kipindi Maalum IBN TV

    Mzee Mohamed Said anaielezea Marekani kama taifa lililopoteza nguvu zake na kushindwa vibaya katika mzozo wa sasa: "Irani imedhibitishia dunia kuwa hawa Marekani ni chui wa karatasi". "Marekani ameishiwa nguvu huwa ameishiwa silaha kipigo alichopata katika zile vituo vyake vemweka katika hali...
Back
Top Bottom