democrats

Stonewall Democrats, also known in some states as LGBT Democrats, is a caucus within the Democratic Party that advocates for issues that are relevant to LGBT Americans. The caucus primarily operates through individual chapters or political clubs supporting LGBT rights and affiliated with the Democratic Party.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hapa democrats walifanya uhuni sana.

    Wameenda na kumtafuta mgombea binafsi mwenye jina linafanana sana na mgombea wa Republican. Inaonekana mbinu yao inataka kuwalipa.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Democrats win control of senate

    Habari ndiyo hiyo ya dunia. Hii ina mana gani kwa Trump wa Urais wake? Hakuna kuiba maboksi ya kura, hakuna polisi intimidation na mavi mengine kama hayo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji wasio na vibali wameanza kuelekea Marekani, wakiombea ushindi wa Democrats katika chaguzi ndogo utalainisha sera za Trump

    Msafara Mpya wa Wahamiaji Waelekea Kaskazini Kupitia Mexico, Wakitarajia Ushindi wa Democrats Katika Uchaguzi wa Katikati ya Muhula: Inaripotiwa kuwa washiriki wanatoka Honduras, Guatemala, El Salvador, Nicaragua, Haiti, Venezuela na Cuba. Kipindi cha Biden wahamiaji zaidi ya milioni 10...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump awaambia New York hawatapata miradi ya maendeleo kutoka serikali kuu wakimchagua Mamdani wa Democrats kuwa meya

    Trump ni jiwe mtupu. Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama chetu Kikuu cha Republican. Atapata matatizo na Washington kuliko Meya yeyote katika historia ya Jiji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Charlie Kirk Kuuawa, wafuasi wa chama cha Democrats waanza kupanga majina ya Republicans watakaofuata kuuawa

    Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukitetea mambo haya Marekani unajiingiza kwenye 18 za wafuasi wa chama cha Democrats, tegemea kuuliwa, kuumizwa au kuhangaika kama Charlie Kirk

    Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana, -Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
  9. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  10. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuheshimu maamuzi ya Mahakama dhidi ya Executive Orders ambazo amepingwa na Democrats

    Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 | Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais Donald Trump kuzingatia maamuzi ya majaji wa shirikisho ambayo yamezuia amri zake za utekelezaji wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  12. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Obama kagoma kustaafu ale pension anataka kushika remote na kupitisha marais wake wa Democrats, Biden kamtia adabu !

    Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker, Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !! Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ? Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine, Hamas na Gaza, vimewaondoa Democrats madarakani

    Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine. Trump mara kwa mara amesikikia akisema huyu bwana mdogo Zelensky kila akija Waashington anabeba kitita chetu cha...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Trump akishindwa Uchaguzi, naweza kufungwa na Democrats

    https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19 Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
Back
Top Bottom