marekani

  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ya Marekani, wamarekani wengi weusi kwa weupe wanakimbia Marekani na wanasema hawarudi tena.

    Kuna sista wetu yupo Marekani tangu 1999 anataka kurudi bongo na anasema hatorudi tena Marekani japo ana uraia tayari.. Nyumba zake zote kajenga bongo. Anasema kujenga nyumba Marekani ni wizi mtupu. Kwanza hununui nyumba unachukua mortgage ambayo utatakiwa kuilipia kwa miaka 30 na baada ya miaka...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Dhoruba ya EL Nino Yapiga Hodi China,Yaporomosha Magorofa na kuleta Mafuriko Makubwa.Huko Canada na Marekani Barabara zajaa maji na magari kusombwa.

    My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope sana Kila Nchi Ina aina zake za Hali ya Hewa na intensity...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kumbukumbu ya My Lai

    Uchambuzi wa Mohamed Said: Mzozo wa Iran, Marekani, na Kumbukumbu ya My Lai Mohamed Said anachambua mivutano ya kijeshi na kisiasa kati ya Iran na Marekani katika Ghuba ya Uarabuni, akirejea historia ya vita vya Vietnam: Kuhusu mtazamo wa siri wa wananchi wa nchi za Ghuba (Arab Gulf) juu ya...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran

    Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameeleza kwa undani kuhusu mkakati mkali wa kuibana kiuchumi Iran. Ameonya kuwa serikali ya Trump inaweza kuzinyima benki, makampuni, au taasisi nyingine zinazofanya biashara na utawala huo fursa ya kutumia mfumo wa kifedha unaotegemea Dola ya...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yaomba kurudisha uhusiano na Marekani.

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia fedha za Afghanistan zilizogandishwa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban, Amir Khan Muttaqi, amesema...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Trump ni "Shakara" Nyimbo ya Fela Kuti

    https://youtu.be/4kZwTnK3aWA?si=9XYD5qppRfqb7zxl
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Mzee Butiku: “Watanzania mpuuzeni, Chadema haifadhiliwi na Marekani”

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani. Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani walimchagua Urais Obama ambaye Baba yake ni Mkenya. Halafu Mtanzania anakaa kujadili ujinga wa asili ya Mama wa Makamu wa Rais wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Watu wanaojiita Wanaharakati wana ujinga Mwingi sana ,wana utoto sana , wana umbumbumbu mkubwa sana vichwani Mwao. Wivu ,chuki binafsi na ubaguzi vinawatesa sana baadhi ya watu waliojipachika majina ya Uanaharakati ili wapate kuganga njaa zao. Yaani eti mtu anakaa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kijeshi ya Marekani ikiwa na Mkuu wa CIA yatua Moscow

    Ndege ya Jeshi la Marekani ikiwa na ujumbe mzito ukiongozwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA yatua Moscow Urusi. Kwa mujibu wa taarifa za shirika la BBC na CBS, John Ratcliffe ambaye ni Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA),, amesafiri hadi Moscow kwa mazungumzo ambayo...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Jaji atengua sera ya Trump ya kuzuia visa nchi 75 ikiwemo Tanzania

    Jaji Jeannette Vargas wa Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York ametengua sera ya utawala wa Trump iliyosimamisha utoaji wa visa za wahamiaji kwa nchi 75, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Jeannette amesema sera hiyo ilikuwa “kinyume cha sheria waziwazi” na kwamba ilivuka mamlaka ya Waziri wa Mambo...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania WAAJEMI WAMEFANYA ASKARI WA MAREKANI KUWEUKA NA KUKENGEUKA

    The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
Back
Top Bottom