vikwazo vya marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fumbo la pendekezo la vikwazo vya Marekani: nyumba za vigogo.

    Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani? Tujiulize.!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

    Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga... CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani havijawahi kua na athari zozote za moja kwa moja kwa mtu binafsi au kwa taifa lolote husika duniani

    Kama kuna mtu binafsi aliewahi kuathirika na vikwazo vya Marekani au kama kuna taifa lililowahi kutikisika kwasababu tu ya vikwazo vya Marekani, litaje. Ile hua ni danganya toto tu ya kuwaplease wafuata mkumbo wanaojipendekeza kwa Marekani, but at the end hakunaga athari zozote zaidi ya kufanya...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mamia ya meli za mafuta zinazohusishwa na Iran bado zinafanya kazi licha ya vikwazo vya Marekani

    Mamia ya Meli za Mafuta Zinazohusishwa na Iran Bado Zinafanya Kazi Licha ya Vikwazo vya Marekani Kampuni ya kijasusi ya baharini ya Marekani TankerTrackers inaripoti kwamba idadi kadhaa ya meli za mafuta zinazohusishwa na Iran ambazo bado hazijawekewa vikwazo na Marekani zinaendelea kusafiri...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

    BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  7. A

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo Hezbullah

    Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel. US kisha changan'yikiwa...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yaweka vikwazo kwa maafisa 4 wa polisi Uganda kwa ukiukaji wa haki za binadamu

    Marekani ilitangaza Jumatano kuwa inaweka vikwazo kwa maafisa wanne wa Jeshi la Polisi la Uganda kutokana na tuhuma za kuhusika katika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imewawekea vikwazo makamanda wa polisi, Bob Kagarura, Alex Mwine, Elly Womanya, na...
Back
Top Bottom