jamii forums

  1. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Njia Ya Kuponywa ambayo watu wachache wanaiamini na wameona matokeo yake

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  2. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania SIRI YA UPONYAJI (UGONJWA WOWOTE)

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

    Charles Darwlin He proposed that humankind originated from man-like apes (first quote) in Africa and that humans are most allied to chimpanzees and gorillas (second quote). Further, Darwin seems to have thought that our progenitors were more like chimpanzees than gorillas (third quote). Na...
  4. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania JF kumekucha: Nioneshe Deo Kisandu ili nikuoneshe Dennis Roberts!

    Kama uliwahi kuambiwa duniani watu hufanana kwa sura tu basi huenda uliambiwa ukweli nusu, watu huweza kufafanua hata tabia, akili au fikra. Kwa miaka mingi hapo kabla hapa JF alikuwa mwamba aliyejulikana kwa jina la Deo Kisandu, mwamba alitisha sana, alitingisha kwa mada nzito nzito za...
  6. kelvinvevo

    JamiiForums Tanzania Kiufupi tu nisiongee mengi JamiiForums imenifundisha mengi

    JamiiForums imenifundisha mengi kwanzia mambo ya kimaisha, uchumi, kidini, kimahusiano na vyote niwashukuru wote walioleta mchango humu na tuendelee kudumisha umoja na mshikamano. Asanteni.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naweka milioni moja mezani , Taja mfalme au kiongozi wa Kiarabu wa nchi inayoitwa Palestina kabla ya 1948

    Kama kuna mtu atataja kiongozi wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa Palestine kabla ya 1948, kuna milioni 1 yako Kuna watu wamekuwa brainwashed sana kuamini huo uongo tajeni viongozi wa hio nchi mnayodanganywa ilikuwepo kabla ya 1948 Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Jamii Forums

    Salamu wakuu! Wadau naomba mnikaribishe kwenye nyumba ya Great thinkers kijana mwenye damu changa, mwenye mawazo yanye tija Kwa taifa. Asanteni sana.
  9. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  10. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Jamii Forums . Nyumbani,. kudos To Maxcence,Mike Mushi na Team Nzima ya Staff members Bila kusahau All members

    Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa meditation... Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa Uzi wa Naomba kuongea na...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania Kwanini JamiiForums hamtaki kuanzisha AI yenu?

    Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao. Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku. Kwa sasa user interactions...
  12. Mr Anova

    JamiiForums Tanzania Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  13. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  14. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

    Habari wanajamvi, Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko. Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
  15. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

    Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie. Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

    Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪 Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia...
  17. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  18. kimboideas

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi JamiiForums

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
  19. Joseph Kadasula

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
Back
Top Bottom