Hivi hii BSc. in Physics ukisoma unakuja kuwa nani? Kila mtu ananiambia utakuwa mwalimu tu

Collins Munuo

Member
Jul 29, 2021
10
6
Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿค”๐Ÿค”
japo kozi ni ngumu ๐Ÿ˜ข pia ajira ni changamoto hasa hapa bongo lakini ukitoboa utakuja kunishukuru ๐Ÿ™, inakuwa tamu Sana Kama ukidhamiria kupiga shule hadi masters na kuendelea kwa sababu bsc in physics ni in general pia hata specialization zake hazina uzito kwa upande wa degree nahisi mnanielewa wale waliograduate hi kitu.

Wataalamu wa physics wanaitajika Sana mashuleni(walimu) Ukiwa na post graduate diploma ya education in physics au ukisoma masters unaweza kuwa lecture au department fulan pia viwandani (ukipiga post graduate diploma ya engeering ) hata mahosptitalini (medical physics) specialization kule ocean road mnatafuta watu Kama nyinyi kwa ajiri ya imaging and radiograph.

Kiufupi ni kozi nzuri ambayo hapo baadae inaweza kuwa mkombozi hapa Tanzania kwa sababu Kuna migodi ya uranium na pia Kuna atomic physics labaratory ipo inaendelea na ujenzi serikali imejizatiti kuakikisha elimu haipotei bure.
 
Kwa ushauli wang Bora usome Bsc of science in chemistry itafika kipind ujui ata field uende wap kam inawezekan ukifik chuo ingia kwny chemistry lakin izi Bsc of science in physics, biology na math Zina itaji elimu ya juu ili uje ku specialize kwny kazi
 
nimesoma hii kozi,kipindi naingia mwaka wa kwanza nilishushwa moyo sana,ila kwa sasa nimeshika hatamu;
uahauri wangu soma kutafuta maarifa,usisome ili uwe nani upate ajira,niliajiriwa kwa sababu ya maarifa,sio nimesoma nini;
ndani ya hiyo degree kuna kozi nyingi tu,hakikisha unajiweka vizuri eneo unalotaka,mfano nuclear,electronics,programming n.k.,halafu hata CV yako useme wazi umebobea wapi,utafika mbali;
natamani kukuona hapo UDOM;
 
Bado ni changamoto sana nchi yetu.Lakini unaweza kusoma Kwa ajili ya kufanya specialization baadaye.Unaweza MEDICAL PHYSICS /NUCLEAR PHYSICS.Miongoni mwa wasomi wa nuclear Physics ni pamoja na Dr.Mohammed Gharib
Unampiga mweleka wa hali ya juu sana. Hakuna mtu ataenda soma Nuclear Physics kwa kutokea hiyo kozi hapa nchini. Kusoma hiyo kozi moja kwa moja kunaashiria huna hela na huna ufaulu wa juu. Bila hivyo vitu Nuclear Physics kwa bongo utaisomea magazetini
 
umefanya kosa mkuu,kumuita mtu tapeli,tena ukiwa hauna uhakika,heri ungeomba radhi tu baada ya yeye kuthibitisha sio tapeli,ni utu pia;
niwie radhi kama nimekuingilia mawazo yako;
Hakuna tatizo kabisa mkuu wala usjaliii.
Ujue hawa madogo wanaona kila mtu ni size yao hapa JF. Aisee dogo shughuli anayo.
 
Back
Top Bottom