jamii forums

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bei ndogo shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la idadi ya watu wasiopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania ukilinganisha na miaka 5 iliyopita

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  4. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kipi haswa kilikuvitia kujiunga na Jamii forums

    Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine? Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
  6. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  7. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  8. Midnight

    JamiiForums Tanzania Angalizo, Tuwe makini

    Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi. Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi. Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
  11. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

    Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
  12. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kutumia kiingereza kuonesha msisitizo?

    Habari za wakati huu, Nimekuwa nikisoma nyuzi mbali mbali humu Jamii Forums na nimefurahishwa nazo. Ila sifurahishwi na hii tabia ya mtu kupachika mstari wa kiingereza eti ndo kuonesha Msisitizo wa Mawazo yake. Kwa mfano, utakuta mtu anaongelea kuhusu kutokuwepo kwa Mungu, anaadika hivi...
  13. Collins Munuo

    JamiiForums Tanzania Hivi hii BSc. in Physics ukisoma unakuja kuwa nani? Kila mtu ananiambia utakuwa mwalimu tu

    Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? 🐒🐒🐒🤔🤔
  14. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Importance of Boosting Intra-African trade by Promoting a Culture of buying Quality African Goods and Services

    How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen? The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations signed the African Free Trade Agreement (AfCFTA) agreement in Kigali Rwanda. The African Union says the...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    “Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma. Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
  16. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mabadiliko ya Kanuni za Sheria ya Maudhui ya Mtandao (2021) na Jamii Forums

    Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020. ============ ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS MAJOR...
  17. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mwanamke mjamzito afanye hivi kuondoa mazoea ya kula udongo kutokana na madhara yake.

    Watu maarufu waliowahi kula udongo. Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja. Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
  18. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana kwamba huwezi kufanikiwa ulipozaliwa (kukulia) na msemo, ”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  19. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa kada ya Ualimu wajitolee

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  20. King Shaat

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Washabiki wa American Football 🏈/NFL Humu JamiiForums?

    Habarini Wakuu, Natumaini mko poa kabisa katika jitihada za kujiendeleza kila siku. Kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu, ningependa kufahamu (na kufahamiana) kama kuna mashabiki humu JamiiForums wa mchezo wa American Football 🏈 au "ligi" ya NFL ya Marekani. Nafahamu ni moja kati...
Back
Top Bottom