Jeune Kims

Member
Sep 8, 2021
5
0
“Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma.

Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua anasubiri muda mzuri, oh au hakupenda? Jioni nilijikuta nikijiuliza kwanini hakutaka kutumia kinga? “Ila hana shida, hawezi kuwa mgonjwa bhana”, akili yangu ilikua ikinidanganya hivyo.

Siku iliisha na hakunitafuta kabisa. “How can he do this, kwanini anaondoka hata haniambii? This is strange.” yalikua ni maneno yangu nilipoona ig story yake akiwa njiani kurudi Mwanza.

Kwanini alikataa kinga? And why is it like am fitting in? Kama vile najipendekeza! Simu hapokei, sms hajibu, any ways, it was a one night stand, let me move on.” Wiki moja baadae haya mawazo yalinisumbua sana.

Kwani kupima sh.ngapi!, Acha nikapime” Maneno ya daktari yalizimisha jeuri yangu yote. Kila neno Dr.Mac alilosema lilinikumbusha wakati naitisha condom. Nilihisi baridi huku jasho likinishuka. Mtetemo niliousikia, ulitosha kuvunja vunja moyo wangu, ukizima na kila taa ya njia yangu.

Red-cat ni sh.ngapi nikanunue, dawa gani itaniua haraka? Ohh Jesus, how can I confess niondokane na hii aibu, Uuwi yule mzee akijua atanifukuza nyumbani, Ndio maana aliondoka bila kuniaga, mshenzi yule alikua anajua anachokifanya, hapokei simu yangu, Ben lakini kwanini anifanyie hivi, siwezi tena kuendelea na shule...........”

“Latiffa, utatakiwa kuchagua kituo cha kuanzia clinic......”, maneno ya Dr.Mac yalibadilisha maisha yangu mpaka leo hii.
 
Pole...ndio maana wengine wanaona bora wale wauza papuchi kwa sababu hawakubali kwenda kavu kuliko kula hawa tunaowaamini!.....Ni waenezaji Wazuri wa magonjwa ya zinaa.
 
“Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma.

Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua anasubiri muda mzuri, oh au hakupenda? Jioni nilijikuta nikijiuliza kwanini hakutaka kutumia kinga? “Ila hana shida, hawezi kuwa mgonjwa bhana”, akili yangu ilikua ikinidanganya hivyo.

Siku iliisha na hakunitafuta kabisa. “How can he do this, kwanini anaondoka hata haniambii? This is strange.” yalikua ni maneno yangu nilipoona ig story yake akiwa njiani kurudi Mwanza.

Kwanini alikataa kinga? And why is it like am fitting in? Kama vile najipendekeza! Simu hapokei, sms hajibu, any ways, it was a one night stand, let me move on.” Wiki moja baadae haya mawazo yalinisumbua sana.

Kwani kupima sh.ngapi!, Acha nikapime” Maneno ya daktari yalizimisha jeuri yangu yote. Kila neno Dr.Mac alilosema lilinikumbusha wakati naitisha condom. Nilihisi baridi huku jasho likinishuka. Mtetemo niliousikia, ulitosha kuvunja vunja moyo wangu, ukizima na kila taa ya njia yangu.

Red-cat ni sh.ngapi nikanunue, dawa gani itaniua haraka? Ohh Jesus, how can I confess niondokane na hii aibu, Uuwi yule mzee akijua atanifukuza nyumbani, Ndio maana aliondoka bila kuniaga, mshenzi yule alikua anajua anachokifanya, hapokei simu yangu, Ben lakini kwanini anifanyie hivi, siwezi tena kuendelea na shule...........”

“Latiffa, utatakiwa kuchagua kituo cha kuanzia clinic......”, maneno ya Dr.Mac yalibadilisha maisha yangu mpaka leo hii.
Pole sn mwandishi makn
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom