IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

Detective Cpl

Senior Member
Jul 21, 2021
197
500
#Manyara
"......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro

#UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH

IMG_20211006_175537.jpg
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,294
2,000
Sirro nakuapia na wako wataambiwa hivyo, utakuwa hauko madarakani au duniani, enjoy your cheo

Nipo maza ako mkuu

Time isnt fixed, time is an illusion, somewhere in time your already dead, lets say someone living in year 2100 right now anajua umeshakufa na kufukiwa muda mrefu sana.

Kinachokupa kiburi ni muda unaoishi saaahv, you feel like you have a long time to live but somewhere ahead your already dead, and so what differentiates you and death is only TIME:

- someone living in 2019 right now anamuona magu akiwa hai and likewise to everyone else
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
176,573
2,000
Ndio mipaka yake ya kazi na kufukiri imeishia hapo, kazi kubwa za ki-IGP ni kusubiri maagizo kutoka kwa wakubwa zake, nayeye anatekeleza kama yule mnyama mwenzetu anavyoamriwa shikaaa.
Lakini kuna kujiongeza kwakuwa mpaka mtu kupata cheo cha IGP anahitajika kuwa na elimu kubwa, ufahamu mkubwa, uzoefu wa kutosha na mwenye tafakuri ya hali ya juu sana
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,569
2,000
Mimi kuna kijana wangu anaitwa mahita mshughulikie fasta basikia mpo nae huko kikazzi
 

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,048
2,000
Kuna yule Gody Sirro amekushinda, kila siku kupigana na wateja wa bar yako kule Chanika naye utampeleka central?
Huyo bwana mdogo anatumia cheo cha babayake kujiweka juu ya sheria. Kuna siku tulikua na kikao na madalali pale kwenye bar yao madalali wakahitilafiana kwenye maslahi baada ya kuuza nyumba. Ile kujibizana akaja huyo Gody, anafoka na kupiga meza teke vinywaji vikamwagika.

Tulimvaa bila kujua ni nani(madalali walikuwa wanamfahamu, sisi hatumjui). Tulimtia nakos watu wanashangilia huku wengine wakisema mtaozea jela, mtoto wa IGP huyo. Tukamwacha na kutimua. Hiyo subaru iliendeshwa kama tupo kwenye rally.

Tukaipaji car wash moja na kuiacha. Huwa nacheka sana nikikumbuka jinsi tulivyoishiwa nguvu kusikia ni mtoto wa IGP jamaa tuliyekuwa pamoja alivyom push n kutimua mbio akatoweka na bodaboda. Tulikuja kukutana Kawe simu kazima
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom