mauaji ya polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mauaji ya Polisi, Sauti kutokea maeneo ya tukio haziwezi Kupuuzwa

    Inatia moyo kuwa sauti zaidi zinazidi kusikika. Kwamba: "Machifu wa mkoa wa Mara nao pia wameomba kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu watatu yalitokea wilayani Serengeti waliouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi kwa tuhuma za ujambazi." Hili ni jambo la kheri...
  2. B

    Mauaji holela watuhumiwa wakiwa ni Polisi, tusisitize Uchunguzi

    Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa. Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi. Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo: Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
  3. B

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  4. M-mbabe

    Jeshi la Polisi ndilo linalowatengeneza akina "Hamza" hapa nchini

    So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko. Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
  5. LIKUD

    Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

    Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio... Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe...
  6. Inside10

    Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  7. Jasusi Uchwara

    Ni sababu zipi zilimfanya Hamza kuwa Gaidi?

    Jamii ya Sasa ina uelewa mkubwa Sana tofauti na jamii iliyowahi kuongozwa na kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete. Huwa nasema kuwa Viongozi wetu wasipoijua jamii wanayoiongoza watapatwa na taabu na kudharaulika kila Siku. Kwa Tanzania Sasa hivi haishangazi kukuta Graduate anaendesha Bodaboda...
  8. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  9. comte

    IGP Sirro, ukubwa ni jalala - wasamehe wanaokuzodoa kwani hawajui unachojua kuhusu Hamza

    Afande Sirro anapingwa kila kona kwa kauli yake wakati wa kuuanga miili ya askari wake walio uliwa kibudu na Hamza. Wengi wao wanaelekea kumhurumia Hamza zaidi bila kujali kuwe yeye (Hamza) kauwa watu watatu- ambao walikuwa wapo kazini kutulinda sisi. Wanaompinga na kumzodoa Sirro wanasukumwa...
  10. T

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi...
  11. Uzalendo wa Kitanzania

    Mama Mzazi na dadake Hamza waachiwa na Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia mauaji ya askari watatu yaliyofanywa na Hamza hivi karibuni ===== Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa...
  12. S

    Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  13. Nuraty J

    Kauli ya IGP Sirro yaibua mapya, wadau waeleza

    Dar es Salaam. Baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro kuwataka askari kutokumuamini mtu, baadhi ya wachambuzi na wanaharakati wamesema kauli hiyo inaleta chuki kati ya wananchi na polisi. Akiwa katika viwanja vya Polisi Kurasini juzi, wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa kwa...
  14. Nuraty J

    Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

    Summary Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye. By Hawa Mathias Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
  15. wa stendi

    Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

    Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli. Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta...
  16. J

    Mchungaji Mastai awaombea wazazi wa watoto wote waliokufa pale Selander Bridge, ataka Serikali ichunguze zaidi

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda. Aidha mchungaji Matsai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi...
  17. Fundi Madirisha

    Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?

    Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
  18. D

    Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  19. M

    Mbona kama Sirro anai-provoke familia ya Hamza?

    Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza. Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za Mahenge. Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya...
  20. Zanzibar-ASP

    Kwanini Hamza aliwalenga Polisi tu?

    Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine? Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa...
Back
Top Bottom