chanika

Chanika is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,450.

View More On Wikipedia.org
  1. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone:

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone: 0716161683
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_v

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_v

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
  4. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kubomoa inauzwa Kawe, karibu na Maghorofa ya Samia — ipo Main Road, inatazama Old Bagamoyo

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  5. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

    Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani. Alipotoka hakumuona na alipotoa taarifa kwa uongozi wa hospitali walisema hawamtambui. Baada ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu yangu ni kidato cha sita. Kazi ikiwa maeneo ya Chanika, Kisarawe, Pugu, Gongo la mboto, Mbagala...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

    Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  10. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa nini Mamlaka zimekitelekeza Kituo cha Daladala Zingiziwa – Chanika?

    Ukifika Chanika mwisho jijini Dar es Salaam kuna msongamano mkubwa wa magari na watu kutokana na ufinyu wa eneo hilo. Hiyo ni kwasababu eneo hilo halina kituo cha daladala, matokeo yake magari hayo hujichanganya na pikipiki zinazopaki eneo hilo na msongamano wa watu. Msongamano huo ulisababisha...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wavamia Bonde la Buyuni, wapima viwanja

    Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu. Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ila CHANIKA!!

    Katika mahangaiko yangu ya kuzichakata na kuzibananga mbunye hapa dar CHANIKA pamenishangaza sana. Kumbe wakati nilipokua nahonga elfu 60 mpaka laki 1 kwa watoto wa chuo wa hapa mjini nlikua nachelewa sanaaaaa. Juzi nimepiga 3some kwa elfu40 tuu pande za CHANIKA 😅🫵 Nimechakata vitoto viwili...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia ● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu ● Maduka...
  14. Big Fat Lady

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  15. Big Fat Lady

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtakuja lini kuunganisha umeme Chanika Zingiziwa? Mmeweka nyaya kisha mmepotea

    Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki. Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
  17. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania GHOROFA INAUZWA,IPO CHANIKA BUYUNI,BEI NI MILIONI 220,🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

    GHOROFA linauzwa mahali Ni chanika buyuni Ina Room 3 Moja master Ina jikoo Ina sebule Ina Daininng Ina public toilet Ina stoo Ina chumba Chakufulia Nguo Ina swimming pool Eneo Lina sqmt 694 Hati miliki ya wizara Nyumba inatupwa tu hii Nyumba inauzwa MILIONI 220 MAONGEZI 🇹🇿Call/WhatsApp...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA NAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER

    NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 300 LESSEN YA S|MTAA PHONE 0743 257 669 WHATSAPP """""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""" INAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SITING ROOM INAJIKO PUBLIC TOILET Ipo jilan na UMEME MAJI SHULE HOSPTAL
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 8 inauzwa mil 29 chanika

    Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami, Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4. 0743257669 Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
Back
Top Bottom