DCI na IGP maelezo yenu kuhusu Hamza kupitia vyombo vya habari hayaeleweki

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
Tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu Hamza.

Yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu.

DCI

====

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Ramadhan alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

Mwanza. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.

Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa polisi na mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi jirani na ulipo ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo Alhamisi Septemba 2, 2021 jijini Mwanza na waandishi wa habari Wambura amesema uchunguzi huo ulijikita katika mambo makuu matatu ambayo ni kutaka kutambua Hamza Mohammed ni nani, nini kilimsukuma Hamza kwenda kufanya tukio lile na kutaka kutambua mshiriki mwingine katika tukio hilo.

Wambura amesema katika uchunguzi huo polisi imebaini kwamba Hamza alikuwa akiishi kisiri huku akiwa amegubikwa na viashiria vyote vya ugaidi.

"Amekuwa akijifunza mambo mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii ambayo kwa kipindi kirefu amekuwa akijifunza mambo ya kigaidi kwa kuangalia mitandao ambayo inaonyesha matendo ya Al-Shabab na makundi kama ISIS yanayoendelea na wagaidi wengi hujifunza kupitia mitandao hiyo," amesema Wambura.

Amesema kwamba kitendo alichokifanya Hamza kilikuwa ni cha ugaidi wa kujitoa mhanga.

mawasiliano aliyokuwa nayo na watu wanaoishi katika nchi zenye matendo ya kihalifu ikiwemo ugaidi hasa wa kupitia mtandao yanayojulikana kama "Radicalisation through social media)," amesema Wambura.

Kuhusu taarifa zinazodai kwamba Hamza aliwashambulia askari hao kwa sababu walimdhulumu madini yake, Wambura amekanusha na kusema katika uchunguzi huo wamebaini kwamba Hamza hakuwa na madini wala fedha katika mazingira yale.

"Hamza hakuwa na madini wala pesa na hakuwa katika nafasi yoyote ya kumiliki madini wala pesa mbali ya kwamba watu wengi wameongea kwamba alikuwa anamiliki migodi ya madini kule Chunya na maeneo ya Makongolosi uchunguzi wetu umebaini hali hiyo ya maisha ilikwisha simama muda mrefu," ameongeza Wambura.

Wambura ameongeza kuwa taarifa ya uchunguzi huo pia imebaini kwamba Hamza alikuwa kwenye kundi la magaidi wanaoamua kuifia dini.

Chanzo: Mwananchi

=======

Anaishi kisiri?
Chunya walimjuaje?
Upanga jee?
Ccm jeee
Kule beach alifikaje?
Kwenye kumbi za starehe aliendaje?
Tafuteni uongo mwingine huo umegonga mwamba

DCI bado unazidi kujichafua na Kama ni kweli Basi kutakuwa na magaidi wengi Sana hapa kwetu!. kwa kauli zako

Kwanini alikuwa anadeal na polisi tu na siyo raia wengine? Aliyapita magari mangapi yaliyokuwa yamebeba abiria mpaka anaingia kwenye kile kibanda cha ubalozini bila kuwadhuru raia!Mbona hayo majibu DCI ni mepesi mno?
 
hanawajua AL-SHABAB na IS na makundi mengne a anawasikia
Uwe members wa AL-SHABAB au IS kisha uwe mtu wa mitungi kiasi kile salalee
wanakutwanga RISASI mara moja

jamaa wanamsimamo balaa hasa AL-SHABAB wale jamaa unaowaona wote ni swala 5 pamoja na makandokando yao lkn linapokuja swala la maadili ya KIISLAM kwa wanachama wao yapo juu mno kimaadili wana imani kali
ndio mana member wao wakishajiunga nao wanabadilika hata misimamo wanakuwa na misimamo mikali sana ya kidini

kuna kitu zaidi alichokelwa nacho
wajue tu kuna watu wengne linapokuja swala la haki yake na kisasi lazima walipe
hvyo tunasema amelipiza kile kilichokuwa moyoni mwake kwa mapolisi ambacho ss hatujui
lkn wasituletee hizo habari za UGAIDI bado hawajatupata
 
tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu hamza.

yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu.

DCI
Mwananchi

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Ramadhan alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

Mwanza. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.

Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa polisi na mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi jirani na ulipo ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo Alhamisi Septemba 2, 2021 jijini Mwanza na waandishi wa habari Wambura amesema uchunguzi huo ulijikita katika mambo makuu matatu ambayo ni kutaka kutambua Hamza Mohammed ni nani, nini kilimsukuma Hamza kwenda kufanya tukio lile na kutaka kutambua mshiriki mwingine katika tukio hilo.

Wambura amesema katika uchunguzi huo polisi imebaini kwamba Hamza alikuwa akiishi kisiri huku akiwa amegubikwa na viashiria vyote vya ugaidi.

"Amekuwa akijifunza mambo mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii ambayo kwa kipindi kirefu amekuwa akijifunza mambo ya kigaidi kwa kuangalia mitandao ambayo inaonyesha matendo ya Al-Shabab na makundi kama ISIS yanayoendelea na wagaidi wengi hujifunza kupitia mitandao hiyo," amesema Wambura.

Amesema kwamba kitendo alichokifanya Hamza kilikuwa ni cha ugaidi wa kujitoa mhanga.

mawasiliano aliyokuwa nayo na watu wanaoishi katika nchi zenye matendo ya kihalifu ikiwemo ugaidi hasa wa kupitia mtandao yanayojulikana kama "Radicalisation through social media)," amesema Wambura.

Kuhusu taarifa zinazodai kwamba Hamza aliwashambulia askari hao kwa sababu walimdhulumu madini yake, Wambura amekanusha na kusema katika uchunguzi huo wamebaini kwamba Hamza hakuwa na madini wala fedha katika mazingira yale.

"Hamza hakuwa na madini wala pesa na hakuwa katika nafasi yoyote ya kumiliki madini wala pesa mbali ya kwamba watu wengi wameongea kwamba alikuwa anamiliki migodi ya madini kule Chunya na maeneo ya Makongolosi uchunguzi wetu umebaini hali hiyo ya maisha ilikwisha simama muda mrefu," ameongeza Wambura.

Wambura ameongeza kuwa taarifa ya uchunguzi huo pia imebaini kwamba Hamza alikuwa kwenye kundi la magaidi wanaoamua kuifia dini.

!

Anaishi kisiri?
Chunya walimjuaje?
Upanga jee?
Ccm jeee
Kule beach alifikaje?
Kwenye kumbi za starehe aliendaje?
Tafuteni uongo mwingine huo umegonga mwamba

DCI bado unazidi kujichafua na Kama ni kweli Basi kutakuwa na magaidi wengi Sana hapa kwetu!. kwa kauli zako

Kwanini alikuwa anadeal na polisi tu na siyo raia wengine? Aliyapita magari mangapi yaliyokuwa yamebeba abiria mpaka anaingia kwenye kile kibanda cha ubalozini bila kuwadhuru raia!Mbona hayo majibu DCI ni mepesi mno?
Hapa tatizo ni usomali wake na dini yake, pia wanataka kuipa uzito kesi ya Mbowe kuwa Tanzania tayari kuna vikundi vya kigaidi! Bahati mbaya malengo ya jeshi la polisi yanaichafua Tanzania ionekane sio nchi salama wageni kuishi. Tuombe Mungu namba za simu za Mbowe zisije zikachomekwa kwenye simu za Hamza kuhalalisha upelelezi waliofanya dhidi ya Mbowe.
Tukio la Hamza halikustahili kuchunguzwa na polisi ambao wanatoa taarifa siku chache baadae kwa tukio kubwa vile kwa mtu aliyeishi Chunya na Dar akiwa na familia!
 
ungameliazia na ni mwana-CCM
 
Mamlaka inayotoa silaha ni magaidi ndio maana walimpatia gaidi mwenzao silaha. Ninachojua mimi kuna kuwa na process ya vetting kabla haujakubaliwa kumiliki silaha tena inashirikisha mamlaka nyingi mno iweje hao wote wasimjue kama ni gaidi mpaka wakamkabidhi silaha!?
 
Tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu Hamza.

Yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu.

DCI

====

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Ramadhan alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

Mwanza. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.

Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa polisi na mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi jirani na ulipo ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo Alhamisi Septemba 2, 2021 jijini Mwanza na waandishi wa habari Wambura amesema uchunguzi huo ulijikita katika mambo makuu matatu ambayo ni kutaka kutambua Hamza Mohammed ni nani, nini kilimsukuma Hamza kwenda kufanya tukio lile na kutaka kutambua mshiriki mwingine katika tukio hilo.

Wambura amesema katika uchunguzi huo polisi imebaini kwamba Hamza alikuwa akiishi kisiri huku akiwa amegubikwa na viashiria vyote vya ugaidi.

"Amekuwa akijifunza mambo mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii ambayo kwa kipindi kirefu amekuwa akijifunza mambo ya kigaidi kwa kuangalia mitandao ambayo inaonyesha matendo ya Al-Shabab na makundi kama ISIS yanayoendelea na wagaidi wengi hujifunza kupitia mitandao hiyo," amesema Wambura.

Amesema kwamba kitendo alichokifanya Hamza kilikuwa ni cha ugaidi wa kujitoa mhanga.

mawasiliano aliyokuwa nayo na watu wanaoishi katika nchi zenye matendo ya kihalifu ikiwemo ugaidi hasa wa kupitia mtandao yanayojulikana kama "Radicalisation through social media)," amesema Wambura.

Kuhusu taarifa zinazodai kwamba Hamza aliwashambulia askari hao kwa sababu walimdhulumu madini yake, Wambura amekanusha na kusema katika uchunguzi huo wamebaini kwamba Hamza hakuwa na madini wala fedha katika mazingira yale.

"Hamza hakuwa na madini wala pesa na hakuwa katika nafasi yoyote ya kumiliki madini wala pesa mbali ya kwamba watu wengi wameongea kwamba alikuwa anamiliki migodi ya madini kule Chunya na maeneo ya Makongolosi uchunguzi wetu umebaini hali hiyo ya maisha ilikwisha simama muda mrefu," ameongeza Wambura.

Wambura ameongeza kuwa taarifa ya uchunguzi huo pia imebaini kwamba Hamza alikuwa kwenye kundi la magaidi wanaoamua kuifia dini.

Chanzo: Mwananchi

=======

Anaishi kisiri?
Chunya walimjuaje?
Upanga jee?
Ccm jeee
Kule beach alifikaje?
Kwenye kumbi za starehe aliendaje?
Tafuteni uongo mwingine huo umegonga mwamba

DCI bado unazidi kujichafua na Kama ni kweli Basi kutakuwa na magaidi wengi Sana hapa kwetu!. kwa kauli zako

Kwanini alikuwa anadeal na polisi tu na siyo raia wengine? Aliyapita magari mangapi yaliyokuwa yamebeba abiria mpaka anaingia kwenye kile kibanda cha ubalozini bila kuwadhuru raia!Mbona hayo majibu DCI ni mepesi mno?
Inaonekana wewe ndio unamajibu
 
Toka ubalozi wa USA ulipopigwa na polisi wetu waliwakamata mpaka watengeneza sufuria kuwa wamehusika kutengeneza bomu maana walikamatwa karibu watu 250 walipokuja FBI wakasema hakuna Gaidi hapo watoeni tuu wao USA walikaa muda mrefu mpaka wakaenda kumkamata yule Mzanzibar Cape Town na mwingine Pakistan wakapelekwa USA kwa mashtaka na uchunguzi ziadi hawa linatokea tukio tuu wanaenda live kusema huyu ni msomali tena gaidi bila kufanya uchunguzi wowote wanatoka na majibu nyumbani kwa ishu ngumu kabisa mimi siwasikilizi najua upo muda tutajua ukweli au vizazi vyetu wataambiwa ukweli...
 
Kinachonifikirisha sana kwanini ile video iliyorekodiwa toka kwenye daladala, jamaa anasikika kumtaja siro na vijana waake, wamemfanya nini? Kwanin asimtaje amiri jeshi mkuu au mkuu wa majeshi.. Ye ni askari tu, kuna jambo hapa kati.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom