Wadau wampinga vikali IGP kuhusu kutoshindwa kukamata Wahalifu , wamkumbusha ya Lissu na Wazungu wawili wa MO

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,106
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani , huku wananchi wengi wakimpinga vibaya sana .

Watu wengi wanahoji kama ni kweli kwamba Mh IGP hajanukuliwa vibaya , basi bila shaka atakuwa anasema uongo , wadau wengi wanahoji kama kauli ya IGP ingekuwa ya kweli basi hadi sasa WALIOMSHAMBULIA TUNDU LISSU MIAKA 5 ILIYOPITA WANGEKUWA JELA , wengine wanasema hata wale WAZUNGU WAWILI WALIOONEKANA KWENYE CCTV CAMERA wakimteka MO , hivi sasa wangekuwa wako Segerea .

Vinginevyo kauli ya IGP Ichukuliwe kama kauli ya utani tu kama ule ule wa siku zote

Ok_basi_sawa_-_naamini_wahusika_wa_tukio_la_kupigwa_risasi_Lissu%2C_kupotea_kwa_Ben_Saanane_na...jpg
 
Hivi huyo Ziro anapanda lini kizimbani kutoa ushahidi aliosema kuwa Mbowe ni gaidi.?
 
Kwani amesema jeshi limeshindwa kuwakanata waliompiga rusasi Lissu?

Inawezekana jeshi bado lipo kazini linawatafuta na wakipatikana watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Halujatamka officially kuwa limeshindwa kuwapata.

Au kuna muda specific kuwa mwisho iwe baada ya muda gani? Turndelee kusubiri.
 
Kiufupi ai ji pii alipewa hiyo nafasi kwa kazi maalum ya kibiti, baada ya mtangulizi wake kuonekana anachelewesha mambo.
Sidhani Kama ana weledi wa Intelijensia ya kivile.
 
Kwani amesema jeshi limeshindwa kuwakanata waliompiga rusasi Lissu?

Inawezekana jeshi bado lipo kazini linawatafuta na wakipatikana watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Halujatamka officially kuwa limeshindwa kuwapata.

Au kuna muda specific kuwa mwisho iwe baada ya muda gani? Turndelee kusubiri.
Acha ujinga wewe..
 
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani , huku wananchi wengi wakimpinga vibaya sana .

Watu wengi wanahoji kama ni kweli kwamba Mh IGP hajanukuliwa vibaya , basi bila shaka atakuwa anasema uongo , wadau wengi wanahoji kama kauli ya IGP ingekuwa ya kweli basi hadi sasa WALIOMSHAMBULIA TUNDU LISSU MIAKA 5 ILIYOPITA WANGEKUWA JELA , wengine wanasema hata wale WAZUNGU WAWILI WALIOONEKANA KWENYE CCTV CAMERA wakimteka MO , hivi sasa wangekuwa wako Segerea .

Vinginevyo kauli ya IGP Ichukuliwe kama kauli ya utani tu kama ule ule wa siku zote

View attachment 2105491
🤣🤣🤣🤣🤣sawa
 
Ila kweli sio kwamba wanashindwa. Wameamua kuacha tu na pengine wanawajua
 
Mimi nakubaliana na Siro. Maana yake wanamjua aliyempiga risasi Lisu. Wanamjua aliyemuua Akwilina, wanawajua wahusika wote kwa watu waliotekwa na wengine hadi leo hawajulikani walipo. Kanifungua Macho huyu mzee. Kumbe ana siri nzito hivi dah
 
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani , huku wananchi wengi wakimpinga vibaya sana .

Watu wengi wanahoji kama ni kweli kwamba Mh IGP hajanukuliwa vibaya , basi bila shaka atakuwa anasema uongo , wadau wengi wanahoji kama kauli ya IGP ingekuwa ya kweli basi hadi sasa WALIOMSHAMBULIA TUNDU LISSU MIAKA 5 ILIYOPITA WANGEKUWA JELA , wengine wanasema hata wale WAZUNGU WAWILI WALIOONEKANA KWENYE CCTV CAMERA wakimteka MO , hivi sasa wangekuwa wako Segerea .

Vinginevyo kauli ya IGP Ichukuliwe kama kauli ya utani tu kama ule ule wa siku zote

View attachment 2105491
 
Attachments

  • twitter_20220120_101600.mp4
    77.2 KB

SIRRO ni Bonge la IGP aliyeshindwa KUKAMATA WAHALIFU toka NCHI ipate UHURU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom