IGP mstaafu Simon Sirro Kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,248
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam

Msemaji wa Polisi amewaambia Waandishi wa Habari kwamba sherehe za kumuaga Sirro ambaye sasa ni balozi wa Tanzania nchini zimbabwe zitaanza saa 1 asubuhi kwa gwaride maalum .

Simon Sirro atakumbukwa milele kwa upelelezi wake kabambe kwenye sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji , pale alipotumia intelijensia kabambe na kukamata gari lililotumiwa na wale Wazungu wawili waliomteka MO

-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpg

Tunamtakia kila la heri .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini

View attachment 2615927

Mbowe anaagwa lini ?

USSR
 
Hagagaga

Khaaa ile kweli kibokooo
 
Chini ya uongozi wake aligeuzwa kama mtoto wa chekechea na aliyepata kuwa RC wa Dar
 
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam

Msemaji wa Polisi amewaambia Waandishi wa Habari kwamba sherehe za kumuaga Sirro ambaye sasa ni balozi wa Tanzania nchini zimbabwe zitaanza saa 1 asubuhi kwa gwaride maalum .

Simon Sirro atakumbukwa milele kwa upelelezi wake kabambe kwenye sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji , pale alipotumia intelijensia kabambe na kukamata gari lililotumiwa na wale Wazungu wawili waliomteka MO

View attachment 2615927

Tunamtakia kila la heri .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Akisha agwa, next afunguliwe mashtaka yanayohusu upotevu wa fedha za Polisi Tsh 4 Billion. Yeye ndiye aliyekuwa signatory
 
Hapo ni kula mpunga tu na soda badae sijui mess kunaendeka au hapohapo vipigwe vyombo .
Kwaheri mheshimiwa na mheshimiwa tena✊️
 
Back
Top Bottom