sheikh ponda issa ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

    Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
  2. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

    Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA. BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam. Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote. . Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee. Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza...
  3. J

    Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

    Shekhe Ponda amesema: Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter My take: Shekhe Ponda...
  4. Mohamed Said

    Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  5. Mohamed Said

    Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  6. J

    Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

    Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools. Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika...
  7. Erythrocyte

    #COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

    Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
Back
Top Bottom