Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022.
===
Rais...
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani)
Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa...
So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko.
Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio...
Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe...
Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi.
Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
Jamii ya Sasa ina uelewa mkubwa Sana tofauti na jamii iliyowahi kuongozwa na kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete. Huwa nasema kuwa Viongozi wetu wasipoijua jamii wanayoiongoza watapatwa na taabu na kudharaulika kila Siku.
Kwa Tanzania Sasa hivi haishangazi kukuta Graduate anaendesha Bodaboda...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi...
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake
Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia mauaji ya askari watatu yaliyofanywa na Hamza hivi karibuni
=====
Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa...
Dar es Salaam. Baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro kuwataka askari kutokumuamini mtu, baadhi ya wachambuzi na wanaharakati wamesema kauli hiyo inaleta chuki kati ya wananchi na polisi.
Akiwa katika viwanja vya Polisi Kurasini juzi, wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa kwa...
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta...
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda.
Aidha mchungaji Matsai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi...
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU!
Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU!
Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto)
Kila mtu ana HAKI
Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za Mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya...
Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine?
Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa...
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii
Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.