kumrithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je, Muhoozi anaanza kumrithi baba yake kinamna?

    Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye rais. Je, hii nguvu kaipata wapi? Je, kuna kitu anakijua kuhusiana na afya ya baba yake ambacho wengi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Andy Burnham aapishwa, tayari kumrithi Keir Starmer

    Siku moja baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu, mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Labour, Andy Burnham, ameapishwa tena kuwa Mbunge wa jimbo la Makerfield, hatua inayotajwa kuwa mwanzo wa safari yake kuelekea kuingia Ikulu ya Downing Street kama Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Burnham, ambaye...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Resty Bura kumrithi Dr Ryoba Ukurugenzi Mkuu TBC

    Mfanyabiashara maarufu duniani Resty Bura anatajwa kurithi nafasi iliyoachwa wazi na Dr Ayoub Ryoba pale TBC. Ikiwa ni kweli tunamtakia mema kuendeleza TBC.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Aliyekusudiwa kumrithi Ayatollah anusurika kuuawa, hapo bado hajateuliwa ila anawindwa

    Fununu tu kwamba atamrithi baba yake imetosha awindwe, aisei Israel ni balaa.... Mojtaba Khamenei has reportedly survived the strike on Iran and is seen by the establishment as the prospective next supreme leader, two Iranian sources told Reuters on Wednesday. Mojtaba is seen by the...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel waonya yeyote atakayekubali uteuzi wa kumrithi Ayatollah, ajiandae kufa

    Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga. Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

    Baraza la Mapinduzi la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei (Mtoto wa Ali Khamenei- RIP) kuwa kiongozi mkuu wa Iran. Ali Khamenei alimlea akimlea na kumwandaa kwa miongo kadhaa mwanawe mwenye roho mbaya, Mojtaba, ili awe kiongozi mkuu ajaye. Yeye ni mbaya zaidi kuliko baba yake.
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

    Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kim Ju Ae mtoto wa Kim Jong Un ni mtoto mwenye uwezekano mkubwa" wa kumrithi Kim Jong Un

    Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake. Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto watatu. Hata hivyo Kim ni msiri sana kuhusu familia yake, alimtambulisha mkewe kwa umma baada ya muda...
  9. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  11. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

    Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa. **Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa] **** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya uteuzi wa namna hii unaoleta mijadala: Aliyestaafu ameteuliwa kumrithi aliyestaafu kuwa mstaafu

    Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hezbollah imepoteza mawasiliano na aliyetarajiwa kumrithi Nasrallah

    Kundi la magaidi la Hezbollah limetangaza kupoteza mawasiliano na aliyetarajiwa kuwa mkuu wake baada ya kifo cha Nasrallah anayefahamika kwa jina la Safi Al din na haieleweki hadi wakati huu alipo! Hivi karibuni Marekani ilitoa taarifa kuwa, Israel ilimlenga huyo mkuu taraji usiku wa Alhamis...
  15. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

    Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua. NB. Hii nafasi Kila member wa...
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

    Huyu anatajwa kuwa ni second in Command na tayari shura ya maulamaa imeshakaa na kumpitisha anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  18. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus, si vinginevyo

    Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi. Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Bollen Ngetti kumrithi Daniel Chongolo?

    Wanabodi, Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM. Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba...
  20. Asphalt1961

    JamiiForums Tanzania Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

    Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi. Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam. Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
Back
Top Bottom