cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Viongozi wa Yanga SC imegeni milioni ishirini ya 'Goli la Mama' ipelekwe kwenye mazishi ya shabiki yenu

    Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake. Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe...
  2. GENTAMYCINE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  3. Smt016

    Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  4. The best 007

    Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  5. Mzawa_G

    Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC

    [emoji94] Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC duuh, na ndo hao hapo wanakata mayenu baada ya kumaliza kazi ya msingi iliyowaleta Tanzania, wametujibu kwa vitendo nje na ndani ya uwanja, wametufunga midomo tuliowabeza, kumbe...
  6. Gordian Anduru

    Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
  7. Scars

    FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

    Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali Mchezo ni saa 4 usiku (EAT) Vikosi kwa timu zote mbili
  8. GENTAMYCINE

    Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu...
  9. GENTAMYCINE

    Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  10. Scars

    FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

    Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
  11. GENTAMYCINE

    Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  12. GENTAMYCINE

    Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  13. GENTAMYCINE

    Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  14. GENTAMYCINE

    Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  15. Smt016

    Yanga yaweka record nyingine CAFCC

    1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao. 2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub. Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca Rivers...
  16. B

    Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  17. John Gregory

    Goli la Mayele goli bora CAFCC

    Goli alilofunga Mayele dhidi ya US Monastir katika moja ya mechi za CAFCC Limetinga na kuwa moja ya goli bora kuwahi kutokea CAFCC. Tazama Link Hongera Mayele.Hongera Young Africans SC.
  18. mugah di matheo

    Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

    Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni.. Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
Back
Top Bottom