cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  2. Labani og

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  3. Pdidy

    Baada ya Azam kuondolewa CAFC, kituo kinachofwata msimbazi Simba mjiandae

    Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika Mashabiki mjiandae kisaikolojia. Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
  4. SankaraBoukaka

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

    Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...
  6. D

    Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

    here are my reasons after Al hilal Tripoli review. Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team: 1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong relationships and understanding among players. This cohesion often translates to better on-field...
  7. BRN

    Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

    Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini. Soma Pia...
  8. M

    Utaratibu wa timu kuanzia round ya awali halafu zingine zinasubiri round ya pili ni wa hovyoo sana

    Nadhani CAF inatakiwa kufanya review katika baadhi ya mambo yake . Hii ni taswira ya kibaguzi. Pia na suala la timu kubwa kuanzia ugenini nao huu ni utaratibu wa hovyoo sana.
  9. Labani og

    Je wanaume tunaruhusiwa kutazama mechi za shirikisho?

    Salaam alaikum wakuu Baada ya kushuhudia soka safi la Caf Champions Ligi mechi Bora sana za kiume ambazo mpinzani anapigwa goli nne. Lakini bado anapambana kuliko makolo nimejikuta najiuliza maswali haya. Je: ni sahihi Kwa sisi wanaume kukaa kwenye tv/ kwenda uwanjani kutazama mechi za...
  10. Frank Wanjiru

    Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Uwanja wa Azam Complex kutumiwa na vilabu 6 michuano ya kimataifa msimu 2024/2025

    Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Sababu tofauti zimechangia kuzifanya timu hizo kuchagua uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC ambazo ni usalama duni katika baadhi ya nchi...
  12. King Leon 1

    Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  13. Manyanza

    Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  14. J

    Kombe la Shirikisho (CAFCC) au Loser Cup limefutwa?

    Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa? Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
  15. GENTAMYCINE

    Kinachoniuma ni kwamba Timu zote nilizopangiwa 'hazirogeki' na wala 'hazihongeki' kama zile za kule CAFCC

    1. National Al Ahly SC (Egypt) 2. CR Belzoud FC (Algeria) 3. Club Medeama (Ghana) 4. Ihefu FC (Mbarali Tanzania) Kudadadeki.....!!
  16. GENTAMYCINE

    Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

    Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

    1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali...
  18. Beberu

    FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  19. demigod

    Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

    Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango...
  20. GENTAMYCINE

    Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

    Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea...
Back
Top Bottom