Yanga yaweka record nyingine CAFCC

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,270
2,994
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.

2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao

Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub.
Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca
Rivers 5 - 0 Al Nasr 3
Rivers 3 - 0 ASEC Mimosas
Rivers 3 - 1 Motema pembe.
Rivers 2 - 2 Diables Noirs
Rivers 0 - 2 Yanga SC
 
Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca Rivers 5 - 0 Al Nasr 3
Rivers 3 - 0 ASEC Mimosas
Rivers 3 - 1 Motema pembe.
Rivers 2 - 2 Diables Noirs
Rivers 0 - 2 Yanga SC
Si ndo tumewatoa bikra
 
Moderator unganisheni huu kwenye uzi ambao tayari umeshaanzishwa
 
Usisahau ni litimu la Kwanza kumpokea msaliti hapa afrika mashariki na Kati. Sasa ni fujo kwenda mbele.
 
Awajamaa kufugwa kwao ni mtiani ila inabidi tujikumbushe kitu iki kiwanja sio wanachokitumia cha kwao kimefugiwa kwaiyo rivers wamechez kweny mji mwingine sio mji wao
 
Na yanga pale ni kwao? Ukweli yanga wamejitahidi sana Kwanza nchi hawaijui ila wenyeji wanapajua mpaka kule kwenye .....
 
1. Uwanja waliotumia sio wao.
Japo walikuwa wenyeji wa Mchezo.

2.mshambuliaji wao Tegemeo hakuwepo kwenye Mechi ya Leo.

KOMBE LA LUZA.
Kwao ni wapi unapopajua wewe? Wamechezea Zimbabwe au Malawi au Guinea? We jamaa mwezi mchanga eti?
 
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.

2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao

Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub.
Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca
Rivers 5 - 0 Al Nasr 3
Rivers 3 - 0 ASEC Mimosas
Rivers 3 - 1 Motema pembe.
Rivers 2 - 2 Diables Noirs
Rivers 0 - 2 Yanga SC
IMG-20230423-WA0112.jpg
 
hii ni rekodi ya kutoka lini? ina maana toka ianze kishiriki mashindano ya caf imecheza michezo 6 tu nyumbani kwao? Tuwekee matokeo yote tangu ianze kushiriki michuano ya caf ambapo imeshacheza zaidi ya michezo 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom