Search results

  1. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa.

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  2. Webabu

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
  3. Webabu

    Hamas wamesema wataweka silaha chini na kuachia mateka wote pindi taifa la Palestina likiundwa. Israel inataka nini tena zaidi ya hapo?

    Kumekuwepo na nukta ambazo zimekwamisha makubaliano ya kusitisha vita kwa muda mrefu kati ya Israel na Hamas. Israel imeshikilia haitaki kuona Hamas ikiendelea kuitawala Gaza na la plli ni kupata mateka wote wanaoendelea kushikiliwa na Hamas. Kulikuwa na baadha ya nukta pia viongozi wa Hamas...
  4. Webabu

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam.

    Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio...
  5. Webabu

    Yahya Sinwar akagua vikosi vyake Gaza. Apigiana simu na viongozi wa Hamas walio nje

    Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza. Alifanya hivyo kwa kujitokeza juu ya ardhi na wala sio kwenye mahandaki. Mbali na hivyo, kiongozi huyo ambaye mara moja Israel...
  6. Webabu

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  7. Webabu

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana. Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina. Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
  8. Webabu

    Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao. Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka. Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel...
  9. Webabu

    Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  10. Webabu

    Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu. Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio...
  11. Webabu

    Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  12. Webabu

    Majaribio mawili ya Israel kulipiza kisasi kwa Iran yameshakwama ndani ya wiki moja. Hasira zake zinaishia Gaza

    Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja. Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo. Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
  13. Webabu

    Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
  14. Webabu

    Tabia ya kuvuna mawingu huenda ndiyo imesababisha mafuriko ya Dubai

    Nchi ya UAE inayounganisha na jimbo la Dubai ni miongoni mwa mataifa tajiri sana duniani.Kila kitu wamependelea kiende kiteknolojia hata pasipokuwa na umuhimu wa namna hiyo. Maendeleo hayo ndiyo yamewafanya wasiweze kusubiri mvua zinyeshe kwa hiyari yake japo hawana shida sana ya maji wala...
  15. Webabu

    Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  16. Webabu

    Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa...
  17. Webabu

    Kikosi kama kile kilichookoa mateka Entebe chasambaratishwa Gaza

    Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel. Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na...
  18. Webabu

    Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  19. Webabu

    Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  20. Webabu

    Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

    Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria. Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakipigwa huku majirani zao wakikaa kimya.Kama sasa wataanza kuingilia kati kuipiga...
Back
Top Bottom