kubembeleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao. Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka. Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel...
  2. Balqior

    Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  3. Msanii

    Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

    Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji. Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto...
  5. Komeo Lachuma

    Feisal Toto anarudi akilia na kubembeleza. Labda ameisahau Yanga

    Wekeni Kumbukumbu huu uzi. Feisal Toto sijajua nani anamdanganya. Ila nadhani amesahau. Ameisahau Yanga. Yanga siyo kama Simba wale mabwege. Huyu Fei Toto namwona hapa akija Yanga analia akiomba asamehewe. Tena anaomba acheze kwa mshahara wowote ambao Yanga watapenda kumpa atakubali kwa moyo...
  6. NetMaster

    Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  7. Lanlady

    Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

    Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk. Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa...
  8. K

    Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

    Kwema watu wa mapenzi? Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata. Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me...
  9. Opportunity Cost

    Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  10. Countrywide

    Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

    Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako. Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge. Mama katika...
  11. ndege JOHN

    Sina kabisa msamiati wa kubembeleza au kuvumilia katika mapenzi

    Katika mademu kumi nitakaowatongoza Basi nane au tisa wananikataa hii Ni kwa sababu Mimi waga nikikutongoza Leo au nikikupenda leo nataka uingie geto siku hiyohiyo na ndo maana ndugu zangu kazi ya kuwambeleza wanawake nawaachia nyie Bora ukatae ili nikupotezee niendelee na mishe nyingine kuliko...
Back
Top Bottom